Italazimika nikufunze mambo machache ya kimandiki katika uandishi wewe bibi,
Historia ni mkusanyiko wa kumbukumbu za matukio kwa nyia ya maandishi au vitu, ninapoandika historia ya mwalimu inamaana nakusanya maandiko ya kila pembe na kuyaunganisha pamoja ili kuleta mtiririko ninaokusudia hii lazima ningeweka vyanzo vya kila niliposoma na kupata neno, kwakuwa sio uandishi wa historia halisi bali maudhui ya mada ni tofauti.
Ningekaa na kutaka kuandika rasmi historia ya Mwalimu Nyerere basi hakika ungeona vielelezo vingi sana na vyanzo vingi sana,
Historia ni tofauti na utafiti wa kitabibu, ama ya kiroho.
Na hizi utasema za nani?
TAFAKURI YETU: HISTORIA YA MAISHA YA MWALIMU NYERERE
Kilimanjaro Official Blog: HUYU NDIYE MWALIMU J.K NYERERE USIYEMFAHAMU...,
Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri
Ewe punguani, ndiyo maana nikakwambia kuwa u finyu sana na hauna cha kushindana na Alama
Mohamed Said, paper yako hata moja ya kihistoria iko wapi?
Umemkopi huyo mwandishi niliyeweka link na kuja kumpesti hapa bila hata haya, hiyo inaitwa "plagiarism". Nchi zenye kufata "copy rights" unashitakiwa, ulipata "consent" yake huyo aliyeandika hayo kumkopi?
Onesha katika uliyoyaandika yako wewe ni yepi?
Waandishi wa historia hufanya research zao wenyewe pia ku interview watu na kupitia nyaraka mbali mbali tofauti na wanapochukuwa ya mwengine hufanya "citation", wewe umeingia mzima mzima kudanganya watu halafu unataka ushahidi?
Na hata wanapofanya "citation" amma huyakubali, amma huyapinga hayo wanayoyanukuu amma huyakosoa amma huyaboresha, wewe mwenzangu na mie na kuandikia historia wapi na wapi? jinsi unavyoandika nnauhakika hata essay huwezi andika wacha history.
Hivi toka mjuwe kuingia mtandaoni na kakutana na makanjanja na misukule wenzenu basi mnajiona mnaandika sana.
Soma kazi za watu wenye papers zao vyuoni na vitabu vyenye hadhi ya kimataifa, siyo hivyo vi kopi and pesti vyako vya mtandaoni kwa watu ambao ni kama wewe halafu unajiona umenadika historia.
Wewe uliingia library ipi duniani hata siku moja kufanya utafiti wako? au una paper ipi yako ya historia katika library ipi?
Hapo sasa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?