Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Wewe unayejua umekusaidia nini.Kenge kweli kila kitu mnajua nyie halafu dini yenu hamuijui.Haha..mapumbavu yanayoshindwa hoja huwa yanatafuta namna ya kujifanya wapo upande wanaotaka ushambulia wakidhani inawaongezea uzito.Ukristu huwezi jua wewe kipofu wa akili roho inayokuongoza kwenda machinjio imekuwahisha ..km wale kondoo walioingiwa na mdudu kichwani anavyopiga kila kitu eti anakuna ubongo, hauna tofauti na cricket anayeingiliwa na minyoo matakoni na kupata kichaa kinachomfanya ajitupe kujiua ktk maji ili hao minyoo wakazaane
Kama haya ndio mafunzo ya kikristo uliyoyapata basi umejidanganya. Kajipange upya.
 
Na siyo hivyo tu Malkia Elizabeth anayemchanganya huyu mwandishi mzushi ni wa kanisa la Anglikan, au ndiyo amemchomekea hiyo Uskochi kulazimisha uhusiano na ukatoliki?.
Huyu kijana anashangaza sana. Na bado anatetea huu upuuzi alioandika kama vile wengine wote sisi ni wajinga. Kazi ipo mwaka huu.
 
Wewe jamaa unaonekana hujui unachokiandika maana malkia wa uingereza kama sijakosea ni wa anglicana malkia wa uingereza ni mpaka Scotland, Wales na England yenyeee, haiingii akilini waanglicana wampe cheo mkatoliki church of England ni waangalicana, church of Scotland ni waprotestant na presybetarian watu wengine hamchunguzi vitu mnaandika andika tu upotoshaji
 
Kwa bandiko hili lako naanza kuamin wakatoliki wanaiongoza nchii tangu enz ya mwalimu
 
Na siyo hivyo tu Malkia Elizabeth anayemchanganya huyu mwandishi mzushi ni wa kanisa la Anglikan, au ndiyo amemchomekea hiyo Uskochi kulazimisha uhusiano na ukatoliki?.

Soma historia fupi ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964 ili upevuke kiakili na kimwili ewe kizazi cha nyoka,

Kuasi kule kwa Wanajeshi Januari/20/1964 (Tanganyika Rifles) wala sio jambo la zamani sana kiasi cha kusema kwamba Historia ile imetupwa na hakuna anayesema ukweli,nilikuwa nahisi Viongozi kama Mwalimu,kawawa na Kambona wangeyaweka katika maandishi mambo yale muhimu ktk Historia ya Nchi yetu kabla hawajatutoka.Hakuna mahali mambo haya yameandikwa na ndio maana Vijana wanaotaka kujua historia ya Nchi yao wanakuja na hizi hear/say

Askari wale wa Tanganyika Rifles waliasi...Miongoni mwa mambo waliyokuwa wanadai ni hali nzuri ya maisha ya askari mtanganyika,mshahara ulikuwa mdogo,hawakupandishwa vyeo na hakukuwa na Watanganyika katika vyeo vya juu ndani ya Jeshi lile.Askari waliasi na kuingia mjini,na wengine walikwenda kwenye Makazi ya Maafisa wa kiingereza (Raia) na kuwashikilia.Waziri wa Ulinzi wakati huo alikuwa Oscar Kambona....Mwalimu na Mzee Kawawa kwa usalama wao walitoroshwa na kwenda kujificha,inasemekana Maficho yao yalikuwa Kigamboni.Waziri wa Ulinzi (Kambona) alijaribu kupita ktk Barracks na kuwaomba askari watulie bila mafanikio.

Hali ile iliendelea kuwa mbaya,na Mwalimu kwa ushauri wa Kambona na Kawawa akaomba msaada kwa Uingereza ili waje waokoe hali ile ambayo ilikuwa inaelekea kuwa mbaya,kufuatia kuasi kwa Askari wetu,askari wa Kenya na Uganda nao waliasi kwa sababu sawa kabisa na za UASI wa Tanganyika Rifles.

Malkia alituma kikosi maalumu cha Askari wa Uingereza ambao walikuwepo ktk ghuba ya Aden,Askari hao walikuja na Meli kubwa ya kivita HMS Centaur ambayo ilikuwa na Makomandoo (45 RM),askari na helikopta. Walifanikiwa kutuliza maasi yale, na Mwalimu na Kawawa wakatoka mafichoni na kuonekana hadharani wakiwa na Waziri wa Ulinzi, ambaye alifanya kazi kubwa bila mafanikio kuwaomba askari(Waliokuwa wananuheshimu sana) waache uasi na madai yao yatafanyiwa kazi.

Ukitaka kupata mambo mengi kuhusu maasi yale pitia kitabu "Dar Mutiny Of 1964" by Christopher MacRae
 
waouh umesimuliwa na nan hadith hii? hadith yako inatufundisha nin?.

umejitahid ku-flow japokuwa haijakamilika.Ulivyoanza ni tofauti na ulivyomaliza. association of concepts is poor & poorest.

plz try again later.
 
waouh umesimuliwa na nan hadith hii? hadith yako inatufundisha nin?.

umejitahid ku-flow japokuwa haijakamilika.Ulivyoanza ni tofauti na ulivyomaliza. association of concepts is poor & poorest.

plz try again later.

Mara nyingi wenye kichwa kikubwa huwa wanaugonjwa wa maji kichwani,

Ni vigumu kuelewa makala hii japo haikosi kasoro
 
Last edited by a moderator:
Huyo hajuwi alitendalo, kinachofanya watu wafuate post zake ni huo uongo na utapeli wake wa kujiita Nyerere.

Kuna Nyerere Mhehe?
 
Kuna msemo usemao ukitaka kusema uongo singizia marehemu.Sababu hakuna awezaye thibitisha sababu marehemu alishafariki siku nyingi hawezi kuja sema ndiyo au hapana.

Wewe mleta huu uzi Una PHD ya uongo

Niliwahi kumuuliza Mohamed Said kuhusu zile hekaya zake za uhuru wa Tanganyika kwa nini alifanya mahojiano na watu wengi wa zama hizo isipokuwa Nyerere aliishia kusema hakukuwa na ulazima wa kumhoji Nyerere. Hapo ndipo nilipojua mzee Said ni kiwanda cha uongo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom