Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhh sijaelewa kitu hapa labda mm sio great thinker na hizi ni idioms tu
Ngoja nilale,ntarudi kuisoma vizuri kesho asubuhi
Huyo hajuwi alitendalo, kinachofanya watu wafuate post zake ni huo uongo na utapeli wake wa kujiita Nyerere.
Kuna Nyerere Mhehe?
Niliwahi kumuuliza Mohamed Said kuhusu zile hekaya zake za uhuru wa Tanganyika kwa nini alifanya mahojiano na watu wengi wa zama hizo isipokuwa Nyerere aliishia kusema hakukuwa na ulazima wa kumhoji Nyerere. Hapo ndipo nilipojua mzee Said ni kiwanda cha uongo.
Dogo, sina muda wa kujihusisha na mijadala ya kipuuzi.
Hahahaa mzee amekuja na kuchungulia kidogo akapotea,
Mzee wetu ni bingwa wa habari za kariakoo tu
Wewe ukiwa ni mmoja ya mashabiki wangu, hubanduki kwenye uzi huu
Nana bingwa zaidi Kati ya bingwa wa habari za kariako na bingwa wa ku copy and paste?
Mie nakuja hapa nikupe za uso halafu nnasepa, eti sibanduki. Nimekuuliza maswali umeshindwa kujibu.
Endelea kujidanganya.Huna ulijualo juu ya hili.
Unanipa za uso ama unanishangilia? Maswali yapi hujajibiwa?
Angalia vizuri majibu yapo nimekujibu
Inabidi ulete ushahidi ndipo bingwa apatikane
Hivi wewe una nini cha kushindana na Alama Mohamed Said? hebu tuoneshe japo paper yako moja iliyotolewa hata shule ya kata wacha chuo kikuu chochote kile.
Ushahidi huu hapa wewe ume kopi na kuja pesti huku na hata kuonesha chanzo umeshindwa, unajifnya eti ni wee ulioleta huu utumbo:
Mwandishi wa makala hii, Anna Julia Mwansasu, ni msomaji wa Gazeti la Jamhuri. Amepata kufanya kazi ofisi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri
cc Mkirindi
Italazimika nikufunze mambo machache ya kimandiki katika uandishi wewe bibi,
Historia ni mkusanyiko wa kumbukumbu za matukio kwa nyia ya maandishi au vitu, ninapoandika historia ya mwalimu inamaana nakusanya maandiko ya kila pembe na kuyaunganisha pamoja ili kuleta mtiririko ninaokusudia hii lazima ningeweka vyanzo vya kila niliposoma na kupata neno, kwakuwa sio uandishi wa historia halisi bali maudhui ya mada ni tofauti.
Ningekaa na kutaka kuandika rasmi historia ya Mwalimu Nyerere basi hakika ungeona vielelezo vingi sana na vyanzo vingi sana,
Historia ni tofauti na utafiti wa kitabibu, ama ya kiroho.
Na hizi utasema za nani?
TAFAKURI YETU: HISTORIA YA MAISHA YA MWALIMU NYERERE
Kilimanjaro Official Blog: HUYU NDIYE MWALIMU J.K NYERERE USIYEMFAHAMU...,
Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri
Hivi wewe una nini cha kushindana na Alama Mohamed Said? hebu tuoneshe japo paper yako moja iliyotolewa hata shule ya kata wacha chuo kikuu chochote kile.
Ushahidi huu hapa wewe ume kopi na kuja pesti huku na hata kuonesha chanzo umeshindwa, unajifnya eti ni wee ulioleta huu utumbo:
Mwandishi wa makala hii, Anna Julia Mwansasu, ni msomaji wa Gazeti la Jamhuri. Amepata kufanya kazi ofisi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mjue vizuri Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Gazeti la Jamhuri
cc Mkirindi
Soma historia fupi ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964 ili upevuke kiakili na kimwili ewe kizazi cha nyoka,
Kuasi kule kwa Wanajeshi Januari/20/1964 (Tanganyika Rifles) wala sio jambo la zamani sana kiasi cha kusema kwamba Historia ile imetupwa na hakuna anayesema ukweli,nilikuwa nahisi Viongozi kama Mwalimu,kawawa na Kambona wangeyaweka katika maandishi mambo yale muhimu ktk Historia ya Nchi yetu kabla hawajatutoka.Hakuna mahali mambo haya yameandikwa na ndio maana Vijana wanaotaka kujua historia ya Nchi yao wanakuja na hizi hear/say
......
Ukitaka kupata mambo mengi kuhusu maasi yale pitia kitabu "Dar Mutiny Of 1964" by Christopher MacRae