Yericko,
Ikiwa utakuja na staili hii ya kila ukiandika unaandika kejeli na kebehi
mnakasha utakufa.
Post#174 nimekuwekea vipi TANU ilihangaika kupata tiketi ya kumpeleka
Nyerere UNO.
Nimeeleza mengi.
Kisha nikasema kuna mkasa wa
Rashid Ally Meli katika jitihada hizo za
kutafuta tiketi ikiwa mtapenda nitakileta kisa hicho hapa Majlis.
Nilitegemea baada ya kusoma angalau utajibu hayo yaliyomo humo na
pengine utataka kumjua
Rashid Ally Meli alikuwa nani katika TANU.
Badala yake unakuja na lugha za kifedhuli.
Hata hivyo nitakueleza nini ulikuwa msimamo wa
Abdul Sykes kuhusu
historia ya TANU baada ya uhuru kupatikana mwaka 1961:
[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]"
Abdulwahid was asked by
Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British.
This, in essence, was to be the history of TANU.
To assist him in the research was the late
Dr. Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President.
Abdulwahids personal files, dairies and his late fathers papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.
Abdulwahids version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership.
We shall see in the following pages reasons why
Abdulwahids version of history could not be allowed to flourish.
Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for
President Nyerere.
Dr. Kleruu went ahead with the research and completed the work.
This manuscript remains unpublished, at least in its original form.
The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the author on the original manuscript to prevent detection by the Party.
After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.
The work has now been published several times. The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college."
(Kutoka "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998).
Yericko,
Nadhani utakuwa umejifunza jambo katika kisa hicho hapo juu na utakuwa umepata jibu
TANU ni ya nani ikiwa TANU ilikuwa na mwanyewe.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wanamajlis,
Kwa yule atakae kusoma zaidi kuhusu utata katika historia ya TANU basi ingie hapa:
KUTOKA JF: AFRICA EVENTS NA MISUKOSUKO YAKE - Mohamed Said