Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #401
Wanamajlis,
Mie nihangaike nini?
Mimi nasomesha.
Paper naandika.
Mialiko ya kuzungumza napata kutoka kila kona ndani ni nje ya nchi.
Mwezi ulopita BBC wameniomba niwe mmoja wa wazungumzaji kutoka Tanzania katika kuadhimisha Miaka 100 ya.Vita Kuu Vya Kwanza.
Hivi majuzi nimetoka Ulaya kwa mwaliko.
Karume Day nimesikika kote nikieleza historia ya Abeid Amani Karume.
Publishers wakubwa wanamiminika kunipa miswada niifanyie uhariri.
Magazeti yanagongana kuniomba niwe columnist wao.
Watafiti wa historia ya Afrika kutoka sehemu nyingi duniani hawapungui kwenye study yangu.
Hii ni dalili ya mtu anaehangaika?
Nilitoa changamoto.
Aandike kitabu anaeweza kupinga kitabu cha Abdul Sykes.
Sijui ni mwaka wa ngapi sasa hili limeshindikana.
Lililowezekana ni kuzomea, kejeli, matusi na kebehi...
Unafahamu kwanini wengi hao uliowataja wanakuunga mkono?
Jf imeanzishwa juzi tu 2007, wakati wewe ulianza uongo tangu ukiwa mdogo na leo hii umezeeka, hivyo hukuwa na wapingaji tangu mwanzo ndiomaana leo unalazimika kukesha jf kuutetea uongo wako.