Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidi hapa!Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
nakala ya uzi huu imfikie mchumia tumbo anayeitwa Kizibao , mkazi wa maeneo ya mchambawima , unguja .Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
unaambiwa hivi , Maalim Seif anaungwa mkono na 95% ya wazanzibar , huu ni ushahidi wa wazi kabisa .CCM Ktk ubora wao! Licha ya figisufigusu Zote ndo wamepata hizo 48k tu??
Tomaso at work!Weka ushahidi hapa!
Ni jambo LA aibu na fezea kalihivi list ya matokeo ya kila kituo ikoje na hao watu laki 3 walioenda kupiga kura walipita njia gani ...mbona palikuwa kimya kutwa nzima ....KAILIMA RAMADHANI Alikuwa anahojiwa bila aibu anawaambia waandishi msione mlikuwa mnaenda vituoni mnakuta kimya ..kuna vituo vingi kufikia saa sita kura wengi walishapiga
misururu mirefu ya wapiga kura wa 20/3 ndio ushahidi wetuWeka ushahidi hapa!
Huyu Kailima ndiye mtu nisiyemwamini kuliko wote duniani kwa sasa .hivi list ya matokeo ya kila kituo ikoje na hao watu laki 3 walioenda kupiga kura walipita njia gani ...mbona palikuwa kimya kutwa nzima ....KAILIMA RAMADHANI Alikuwa anahojiwa bila aibu anawaambia waandishi msione mlikuwa mnaenda vituoni mnakuta kimya ..kuna vituo vingi kufikia saa sita kura wengi walishapiga
Watawabeba na maloriNGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
Ha ha ha! Jamaa anakenua bila aibu kuwa kashinda.
Weka ushahidi hapa!
What shame..'
Ndani ya masaa 24 mshindi kishapatikana kumbe mambo uwa yanawezekana ndani ya masaa 24,sasa mbona uwa wanachukua muda mrefu sana kumtangaza mshindi.
Alafu mbaya zaidi huyu Hamad Rashid kapata asilimia 3 aibu na iwe juu yake dhambi ya usaliti mbaya sana.Hili lazima hata Hamad Rashid analijua, sasa inakuwaje MTU mzina kama yule anasimama na kusema maneno kama Yale yakuunga mkono hadharani matokeo yale? Huyu ni mnafiki mkubwa sana, ccm wakiunga mkono hilo linaeleweka sasa yeye toka chama cha upinzani tumweleweje?
Huyo akae huko huko Zanzibar na unafiki wake asiulete Dar anakofanya makazi yake
Yes u r wright , in Tanzania we create wonders every minute, including rumours, lies and dis Information. I hope one would ask himself how come the owner of this post has all these inner circle info., while the opposition parties and the newspapers who will pay for these info., don't have them and they have never raised them . Also it's a wonder how in Tanzania ppl like yourself without questioning and analysing the info you blindly support the lies.Haha wonders will never cease to happen in Tanzania