Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapata shida ya kubandika picha kwenye text. Kwa hivyo nimeileta kama attachment. Ninafikiri Katuni ya Kipanya iliishalizungumza vizuri sana suala la maigizo ya uchaguzi wa marejeo!
Ataamua kwenda Kanisani maana hamna namna!Mimi hiyo nai support 100% na ni Halali kabisa. Kuanzia leo kwa Waumini wa kiislamu wapenda haki akiingia msikitini Shein basi watu watoke hata kama itakuwa watu washafunga sala. Ni haki kwa sababu, yeye anaingia msikitini kama ni raisi wa nchi na sio kama muumini, na ndio maana akija anaekewa nafasi yake maalumu hata kama atakuwa kachelewa anasubiriwa. Muumini hasubiriwi kwenye ibada, ni imamu tu ndiye anayesubiriwa. Kama anaingia kama ni raisi na ukweli sote tunaujuwa, tukibaki msikitini kusali nae tutakuwa ni wanafiki. Hili litamu effect sana kisaikolojia na itampelekea kukubali matakwa ya wananchi!
Mtaishia kuwaita wasaliti, wenzenu wanatumia vichwa kufikiri, sio makalio. Subiri kesho.NGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
Kwani kanisani wanapokewa madhaalim? Naona avumbuwe dini yakeAtaamua kwenda Kanisani maana hamna namna!
mkuuu kanisani wanapokelewa wanaswalishwa swala ya taubah wanaokoka na kuacha udhaalim!Kwani kanisani wanapokewa madhaalim? Naona avumbuwe dini yake
Wakisusa sisi tunakula yote sawa tu shein ni Rais wa zanzibar.NGOJA TUSUBIRI HIYO KESHO WATAKAOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAPISHA , NATAMANI MABAROZI WAWAKILISHI WA NCHI Z NJE WASUSIE PIA.
Hamjui Trump huyo anamsikia kwenye vyombo vya habari.......Mtu akipungukiwa akili,hiki ndicho anachoweza kuandika.
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?..Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi..Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
C&p
Uwazi na ukweli na isiwe udaku. Tunaomba uthibitisho wa takwimu hizo, na chanzo aminika.Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (hii ni aibu kwa dr.shein)