Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

CCM Ktk ubora wao! Licha ya figisufigusu Zote ndo wamepata hizo 48k tu??
 
Weka ushahidi hapa!
 
nakala ya uzi huu imfikie mchumia tumbo anayeitwa Kizibao , mkazi wa maeneo ya mchambawima , unguja .
 
Ni jambo LA aibu na fezea kali
 
Huyu Kailima ndiye mtu nisiyemwamini kuliko wote duniani kwa sasa .
 
Kila mtu anajua walipika data ngoja ipo siku wataumbuka wao wenyewe
 
Hivi la kukimbia nyumba ya ibada kisa aliyewasili si mwenzao likoje?
 
Ndani ya masaa 24 mshindi kishapatikana kumbe mambo uwa yanawezekana ndani ya masaa 24,sasa mbona uwa wanachukua muda mrefu sana kumtangaza mshindi.
 
Ningelikuwa naingia msikiti mmoja na Shein, singeliingia humo tena kwani hata uwepo wake, swala ishaharibika tiyari.
 
What shame..'


Ina maana hio karatasi ya jecha ndio nini si jamaa anakwambia hio ni siri?

wewe hujuwi maana ya kupanga matokeo?


Mara hii utaratibu wa kutanguliza kura za urais kwa kila JIMBO hazikufanyika. walikimbilia kumtangaza kwa ujumla.


Aibu ilikuwa kubwa. Licha ya kuwashurutisha wafanyakazi hao wachache waliokwenda waliziharibu.


Ni kweli HARAMU HUZAA HARAMU
 
Ndani ya masaa 24 mshindi kishapatikana kumbe mambo uwa yanawezekana ndani ya masaa 24,sasa mbona uwa wanachukua muda mrefu sana kumtangaza mshindi.

Mkendo;
Nilisema hesabu ya kura zilizopigwa hata mtoto wa skuli ya upili mmoja tu alitosha kuzihesabu na kutupa jawabu. 98 elfu. Hata akihesabu ka vidole, ndani ya masaa 24 angelikuwa kamaliza na kwenda kulala
 
Alafu mbaya zaidi huyu Hamad Rashid kapata asilimia 3 aibu na iwe juu yake dhambi ya usaliti mbaya sana.
 
Haha wonders will never cease to happen in Tanzania
Yes u r wright , in Tanzania we create wonders every minute, including rumours, lies and dis Information. I hope one would ask himself how come the owner of this post has all these inner circle info., while the opposition parties and the newspapers who will pay for these info., don't have them and they have never raised them . Also it's a wonder how in Tanzania ppl like yourself without questioning and analysing the info you blindly support the lies.

Ask yourself among the registered voters how many of them are ccm members?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…