Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

Wazawa wa geita ni masikini? Kafanye utafiti tena! Hao wafanya kazi wa mgodini mbona ni watu wenye hela ndogo sana ukilinganisha na wachimbaji wadogo!
Ungezungumzia labda wahamiaji kuwa wengi ningekuelewa ial kusema wenyeji wa geita wengi ni masikini nakushangaa sana!
Hiyo katoro na geita imejaa wafanyabiashara wa maduka na madini tena wengi ni wenyeji wa huko unakuja kutudanganya hapa!
Pia serkali hasa jeshi la polisi kutofanya kazi yake na kutenda kazi ipasavyo ndio sababu pia!
 
Siri ni ushirikina wa wasukuma basi!
 
Ubakaji Geita loh...wanabaka sana yani uwe mwanaume uwe mwanamke,ukikaa hovyo unabakwa..
Kwahiyo wanaume wanabakwa na wanaume wenzao au?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chuki inabeba asilimia chache sana lakini ushirikina aisee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…