passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
au naongelea mambo makubwa ambayo huna maarifa nayo ila ukweli upo wazi uukatae wewe tuNahisi kama unaongelea mambo ambayo yamekuzi uwezo wako wa akili
Nenda mfereji wa Hormuz ukaokote Iphone
kwahiyo viongozi wakubwa wanavyoiongelea NEW WORLD ORDER hadharani wanaongea porojo?amka toka usingizini ukweli upo wazi.kwamba viongozi wakubwa wanaongea porojo?shtuka.Hizi porojo za New Word Order(NWO) na serikali moja ya dunia zimeanza kuongelewa kitambo sana,
Hamchoki tu?!
na umeanza kusikia toka kitambo sana kwa sababu mpango kama huo sio wa siku moja ila ukiangalia upo karibu sana kutimizwa.Hizi porojo za New Word Order(NWO) na serikali moja ya dunia zimeanza kuongelewa kitambo sana,
Hamchoki tu?!
Ndiyo ila kuna kiongozi atakuja na mkataba feki ambao baadaye utakufa kwa sababu waisrael watatambua kuwa ni utapeli tu ndiyo huu mkataba ambao unasikia kina trump wanaandaa.Middle east ni fupa gumu!Hiyo ni vita mpaka mwisho wa dunia!
Wasabato mnatabu.Wengi humu tunashabikia vita. wengi wetu tumeamua kuchagua upande lakini hivi vita vinasiri kubwa sana.mfano vita vya ukraine vinaenda kusababisha mgogoro mkubwa kati ya Ulaya(NATO) na Urusi na kila mtu anauona kabisa muelekeo huo kwa sababu upo wazi kabisa.
Na pia mgogoro wa mashariki ya kati hautaweza kuisha leo au kesho labda uwaue waarabu au wairan wote.ukweli ni kwamba ukifikiria vizuri utagundua njia zote zinaelekea sehemu moja ( like all roads lead to ROME).
Atatokea kiongozi mmoja ambaye ataweza kusuluhisha vita vyote, ataleta amani na pia atawasainisha waisrael mkataba na waarabu ili kuleta amani mashariki ya kati kwa sababu ukiangalia haya yote ni mpango kazi wa kuipeleka dunia huko.kwa mfano haiingilii akilini kwamba urusi anapigana na ukraine kwa sababu anaogopa kuzungukwa na NATO anaogopa nini wakati anasilaha za Nuclear?.
Huyo kiongozi pia atawashawishi kuwa dunia iwe na serikali moja eti ili ndiyo suluhisho ya matatizo yote ya dunia.Hamuoni wimbo wa 'NEW WORLD ORDER ' unaimbwa hadharani kabisa na viongozi wakubwa kina trump,Putin mwenyewe NK kuna ushahidi gani tena mnataka wa ujio wa huyo kiongozi?
ila fanya jitihada huyo kiongozi asikukute duniani na njia pekee kila mtu anajua.
mimi sio msabato ,sema huna maarifa kila kitu kipo wazi biblia imeeleza kila kitu.na pia ukweli upo wazi na wanaongea kuhusu NWO hadharani.Wasabato mnatabu.
Leo umeenda OP bro. Sijajua hapo Rome imehusikaje. Ila kama unadhani Rome ndio atatokea kiongozi wa hiyo NWO UMEFELI. Rome haina nguvu wala ushawishi wowote geopolitically wala geo-economically. Pia NEW WORLD ORDER INAYOZUNGUMZIWA ni ile ya kutoka kwenye mfumo wa UNIPOLAR kwenda kwenye mfumo wa MULTIPOLAR POWER. Hii ndio world order inayozungumziwa. Hapa umefeli ndugu yangu.Wengi humu tunashabikia vita. wengi wetu tumeamua kuchagua upande lakini hivi vita vinasiri kubwa sana.mfano vita vya ukraine vinaenda kusababisha mgogoro mkubwa kati ya Ulaya(NATO) na Urusi na kila mtu anauona kabisa muelekeo huo kwa sababu upo wazi kabisa.
Na pia mgogoro wa mashariki ya kati hautaweza kuisha leo au kesho labda uwaue waarabu au wairan wote.ukweli ni kwamba ukifikiria vizuri utagundua njia zote zinaelekea sehemu moja ( like all roads lead to ROME).
Atatokea kiongozi mmoja ambaye ataweza kusuluhisha vita vyote, ataleta amani na pia atawasainisha waisrael mkataba na waarabu ili kuleta amani mashariki ya kati kwa sababu ukiangalia haya yote ni mpango kazi wa kuipeleka dunia huko.kwa mfano haiingilii akilini kwamba urusi anapigana na ukraine kwa sababu anaogopa kuzungukwa na NATO anaogopa nini wakati anasilaha za Nuclear?.
Huyo kiongozi pia atawashawishi kuwa dunia iwe na serikali moja eti ili ndiyo suluhisho ya matatizo yote ya dunia.Hamuoni wimbo wa 'NEW WORLD ORDER ' unaimbwa hadharani kabisa na viongozi wakubwa kina trump,Putin mwenyewe NK kuna ushahidi gani tena mnataka wa ujio wa huyo kiongozi?
ila fanya jitihada huyo kiongozi asikukute duniani na njia pekee kila mtu anajua.
ndiyo nafikiri huo ndo utakuwa mkataba.kuhusu unipolar maana yake nchi chache au moja zinatawala dunia.multipolar mi ninavyoelewa ni mfumo ambao hakuna nchi moja itakayofanya maamuzi ya dunia kwa niaba ya wengine bali nchi zote zitaungana kutatua matatizo ya dunia ni mulemule ambayo ni NWO yenyewe hakuna dunia ambayo nchi inaweza kujiamria mambo yenyewe.hao kina Trump na Putin kila mara wanaongea na vita haviishi.Marekani anamsaidia ukraine huku juzi alimruhusu URUSI kuuza mafuta.yaani unaweza kusema marekani anasaidia pande zote.hawa jamaa wanalengo moja kumleta huyo kiongozi.mfano ukraine hakubali kuachia yale maeneo,hapohapo urusi hawezi kuyaachia maeneo aliyochukua, vita vitaishaje?Kunaweza kuwa na Ukweli ndani yake! Maana kinachokuja ni kuanguka kwa Uchumi wa dunia utakaoshiria kuja kwa Dhiki Kuu ya Ulimwengu!
(Mathayo24:21-22)
Kubomolewa kwa Msikiti wa al aquisa na Ujenzi wa Hekalu jipya pale Yerusalem!
Yote hayo yanaashiria kuja kwa huyo atakayeleta Amani ulimwenguni na kutawala ulimwengu kutokea Hekalu hilo,
(Mathayo24:15)
Hoja inakuwa Kanisa la Mungu litapita katika Dhiki hiyo ya Ulimwengu inayokuja au litakuwa limeondolewa?
(2Wathesalonike2:2-4,5-7,9-12)
(Ufunuo7:9-12,13-14)
Lakini kuna maswali ambayo najiuliza! Kuna mkataba wa Abraham Accord ambao unalenga kuzipatanisha Israel na nchi za Kiaarabu! Je,ndiyo Mkataba (wa siri) unaozungumzwa?
Kuanguka kwa Unipolar system iliyokuwa inaongozwa na US ya kuitawala dunia kisha kuzaliwa Multi-polar system ya kutaka kila Taifa lijiamrie mambo yake!
Je,si kwamba hiyo NWO imeshindikana?
Sasa hivi Trump,Putin na Xi wanaenda kukutana kumaliza vita vya Ukraine kuna ashiria nini?
Mtoa post ebu fafanua vizuri hapo!
hiyo Rome ni mfano tu ila hiyo multipolar ndiyo NWO yenyewe maana yake Marekani haitakuwa ndiyo watawala wa dunia bali utakuja mfumo ambayo hautakuwa na upendelea wa upande mmoja yaani mfumo ambayo utaunganisha ulimwengu yaani utaleta usawa mfano kama ni uchumi kutakuwa na currency moja.Leo umeenda OP bro. Sijajua hapo Rome imehusikaje. Ila kama unadhani Rome ndio atatokea kiongozi wa hiyo NWO UMEFELI. Rome haina nguvu wala ushawishi wowote geopolitically wala geo-economically. Pia NEW WORLD ORDER INAYOZUNGUMZIWA ni ile ya kutoka kwenye mfumo wa UNIPOLAR kwenda kwenye mfumo wa MULTIPOLAR POWER. Hii ndio world order inayozungumziwa. Hapa umefeli ndugu yangu.
kwanza ISRAEL HAWEZI KUKUBALI KUWE NA MATAIFA MAWILI SIO LEO WALA KESHO.hilo taifa linaloitwa palestina lilitengenezwa na warumi zamani kulikuwa na taifa linaloitwa judea.kwahiyo waisrael wanarudisha Judea yao.mwisho wa siku taifa la ISRAEL litatengezewa tena chini ya MESIA.wakati wa mfalme Daudi na wengine hilo taifa la Palestina lilikuwa wapi?Wakati wa Waarabu na Waislam walipotaka Amani ya Mashariki ya Kati
Wazungu waliiwapuuza na kuwakebei kwamba hawana nguvu ndiomana wanachagua neno Amani
Ukitazama kwa macho tu mgogoro wa Israel na Waarabu kugawanywa kwa Ardhi ya wa Palestine
Utagundua kwamba tangu mwanzo Wazungu walikuwa pamoja kuundanganya Umoja wa Mataifa
kwamba
Lengo ni kuigawanya Palestine ili kuwepo Mataifa wawili yani Palestine na Israel
Kwasababu matendo ya Wazungu wote wa Ulaya yalikuwa wanafanana
Msingi wa Hoja
Taifa wao walilitambua kama Taifa ni Israel tu❗sio na la pili yani Palestine !!!!
Sasa msingi wa kuwepo Mataifa mawili kugawanywa Palestine
wapewe kipande cha Ardhi Waisrael ilikuwa ni njama yenye uwovu na mauaji makubwa ya Umati ya wenyeji wenye Ardhi yao!!
Kifo cha nyuki kwenye mzinga wake!!!
So unaona unafiki wao tangu mwanzo
Wkt Lengo kuundwa Mataifa
mawili na UN❗
Kwa hoja hii niwazi Wazungu malengo yao yalikuwa sawasawa na kile Waisrael wanawafanyia Wapalestina kuwafukuza wenyeji kwenye Ardhi zao zenye kutambuliwa na Umoja wa Mataifa ¿¿¿
Sasa
Baada ya kuibuka nguvu kutokea Mashariki ya Kati
yani
ISLAMIC REPUBLIC OF IRANIAN
tunawaona Wazungu baadhi wanaitambua Palestine japo kwa kuchelewa sana kinyume na mitazamo yao huku tunaweza kukuita ni kushindwa kwa njama zao
Maandamano ya raia wao dhidi ya kile wanakiona kule Palestine matendo ya kikatili ya Israel kwasasa yupo machoni mwa Dunia
kila mtu kawachukia wale wenye kuitwa eti Waisrael
ukichanganya na nguvu pande ya pili Iranian wapo MOTO
WAZUNGU hawana chaguo lengine zaidi ya watupe taulo ulingoni !!
nguvu pande ya pili
Sasa Iranian hakumuomba mtu kutambuliwa kwa Palestine!!!
Wairani nawao wamekuja na Upanga mkononi Mtutu kizani!!!
kama vile Wazungu wamekuja na Upanga Mashariki ya Kati kutaka kuifuta nchi ya wenyeji yani Palestine kwakutumia Ncha ya Upanga Mtutu!!
Iranian wamekuja kwanjia ileile ya Mtutu tu
Na hakuna kutambuliwa Israel
Kwa Iranian hakuna nchi inaitwa Israel
Ni MOTO tu ndio utaamua Mashariki ya Kati iweje uko mbele ya Safari
Ndiomana MAREKANI wanataka Makubaliano na Iranian kimsingi Makubaliano yao yawe Iranian wasijiingize kwenye mgogoro wa Mashariki ya Kati
Kitu ambacho Wairani hawataki kabisa kusikia ndio icho
Sababu Iranian nawao wanajua Dunia wamechoshwa mgogoro wa Mashariki ya Kati Waarabu wengi Waislamu wengi na wapenda Haki Duniani wote wamechoshwa na Ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina
Kwao kusimama na Palestina kuna faida kubwa sana kupata Sapoti kutokea kwenye mioyo ya wengi Duniani
Iranian wanajua fika Wazungu malengo yao sio Palestine peke yake
Kwaiyo kusimama kutetea Ardhi za Waarabu nayo ni faida kubwa kwake mana ni majirani zake
Waarabu watawaeshimu Wairani zaidi kwenye eneo lao kama watetezi wao wa kweli!!!!
So Iranian anayo maslahi yake makubwa kusimama dhidi ya Ubaberu wa Marekani
Kimsingi Iranian wanamipango yenye faida kubwa upande wa Upinzani
Kuliko yeye kuwa kibalaka wa Marekani !!!
Kwaiyo kwasasa hakuna Suluhu yoyote kwenye lile eneo ni nguvu za kijeshi ndizo zitaamua nini kifanyike sio mdomo tupu msijichoshe kutafuta historia kwenye Biblia kwasasa !!!
mana nyinyi wenyewe ni kondoo mliopotea !!!
mimi nikiwaambia nyumbani kwenu ni kule mnanibishia !!!!
kwamba Iranian ndio Israel mwenyewe og mtakubali kweli ??✍️
Huyo kiongozi ndiye 666 mwenyeweWengi humu tunashabikia vita. wengi wetu tumeamua kuchagua upande lakini hivi vita vinasiri kubwa sana.mfano vita vya ukraine vinaenda kusababisha mgogoro mkubwa kati ya Ulaya(NATO) na Urusi na kila mtu anauona kabisa muelekeo huo kwa sababu upo wazi kabisa.
Na pia mgogoro wa mashariki ya kati hautaweza kuisha leo au kesho labda uwaue waarabu au wairan wote.ukweli ni kwamba ukifikiria vizuri utagundua njia zote zinaelekea sehemu moja ( like all roads lead to ROME).
Atatokea kiongozi mmoja ambaye ataweza kusuluhisha vita vyote, ataleta amani na pia atawasainisha waisrael mkataba na waarabu ili kuleta amani mashariki ya kati kwa sababu ukiangalia haya yote ni mpango kazi wa kuipeleka dunia huko.kwa mfano haiingilii akilini kwamba urusi anapigana na ukraine kwa sababu anaogopa kuzungukwa na NATO anaogopa nini wakati anasilaha za Nuclear?.
Huyo kiongozi pia atawashawishi kuwa dunia iwe na serikali moja eti ili ndiyo suluhisho ya matatizo yote ya dunia.Hamuoni wimbo wa 'NEW WORLD ORDER ' unaimbwa hadharani kabisa na viongozi wakubwa kina trump,Putin mwenyewe NK kuna ushahidi gani tena mnataka wa ujio wa huyo kiongozi?
ila fanya jitihada huyo kiongozi asikukute duniani na njia pekee kila mtu anajua.
ndiyoHuyo kiongozi ndiye 666 mwenyewe