Siri ya namna ya vita vya mashariki ya kati na vingine vitakavyoisha

kwa mfano haiingilii akilini kwamba urusi anapigana na ukraine kwa sababu anaogopa kuzungukwa na NATO anaogopa nini wakati anasilaha za Nuclear?.
Hoja yako ina mantiki kubwa kiusalama, lakini wachambuzi wa kijeshi wanaona sababu kadhaa kwa nini silaha za nyuklia pekee hazimfanyi mwanachama wa nchi kubwa kama Urusi kujisikia salama 100%:

Silaha za Nyuklia ni za Kujihami tu (Deterrent): Silaha za nyuklia hazitumiwi kushinda vita vya kawaida vya kila siku; kazi yake kubwa ni kuzuia nchi nyingine isikushambulie (kwa sababu mkipigana kwa nyuklia, wote mnaangamia).

Muda wa Majibu na Ukaribu wa Kijiografia: Kama Ukraine ingejiunga na NATO, makombora ya NATO yangekuwa mipakani kabisa mwa Urusi. Hii ina maana kama kukiwa na shambulio, Urusi isingekuwa na hata dakika 5 za kugundua na kuzuia makombora hayo kabla hayajafika Moscow.
β€’ Ushawishi wa Kiuchumi na Kisiasa: Zaidi ya vita, Urusi inaona upanuzi wa NATO kama kupoteza ushawishi wake wa kihistoria na kiuchumi katika nchi jirani zilizokuwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti (USSR).
 
Wimbo wa "New World Order" na Viongozi wa Dunia

Ni kweli kabisa kuwa msemo wa "New World Order" (Mfumo Mpya wa Dunia) umekuwa ukitumiwa na viongozi wengi wakubwa kama akina George H.W. Bush, Vladimir Putin, na wengineo. Hata hivyo, maana yake inatofautiana kulingana na nani anayeisema:
β€’ Kwa Viongozi wa Magharibi: Huwa wanamaanisha mfumo wa ushirikiano wa kimataifa kupitia taasisi kama Umoja wa Mataifa (UN) na biashara huru ili kuzuia vita vikubwa vya dunia.
β€’ Kwa Putin na China: Wanapotumia neno hili, wanamaanisha mwisho wa ulimwengu unaoongozwa na Marekani pekee (Unipolar) na kutaka ulimwengu ambapo kuna vituo vingi vya nguvu (Multipolar)β€”yaani Urusi, China, na nchi nyingine nazo ziwe na sauti kubwa.
β€’ Katika Nadharia za Siri (Conspiracy Theories) na Imani: Watu wengi wanaamini kuwa huu ni mpango wa siri wa kuweka serikali moja ya dunia itakayodhibiti kila kitu, jambo linaloendana na hofu uliyoitaja.
 
sasa NATO ataamuaje kushambulia nchi yenye nuclear au urusi mwenyewe ataamuaje kushambulia nato kwa sababu anajua hawezi shinda.kuhusu uchumi urusi hana sababu ya kujitosheleza kuvamia ukraine ni nchi yenye utajiri sana.kuhusu kutaka kuongeza ushawishi wa kisiasa basi amecalculate vibaya hivi vita vimesababisha majirani zake wengi kujiunga na NATO.
 
Haya uliyoandika ni mambo mazito mnooo kwa wengi sana kuelewa hivyo tegemea kubezwa tu. Ila huo ndio ukweli mtupu na miaka michahce sana ambayo naamini haizidi kumi yatatukia.
 
Haya uliyoandika ni mambo mazito mnooo kwa wengi sana kuelewa hivyo tegemea kubezwa tu. Ila huo ndio ukweli mtupu na miaka michahce sana ambayo naamini haizidi kumi yatatukia.
Ndiyo na kila kitu kipo wazi.
 
hapo ni pande 2 ya shilingi moja wote wanalengo moja
 

Kwanza kwako unajua kipi je unajua Israel iliundwa kupitia Azimio la Umoja wa Mataifa mwaka 1947??

Kwako wewe tukio la kweli la Azimio 1947??
Au sio kweli???

Tuanzie hapo ❗
 
Kwanza kwako unajua kipi je unajua Israel iliundwa kupitia Azimio la Umoja wa Mataifa mwaka 1947??

Kwako wewe tukio la kweli la Azimio 1947??
Au sio kweli???

Tuanzie hapo ❗
hilo ni ni azimio la kuwarudisha waisrael kwao na kwenda kuirudisha nchi yao ambayo ilikuwepo zamani.mfano daudi na kina sulemani walikuwa ni wafalme wa taifa linaloitwa ISRAEL.
 
Ndiyo mfano sasa tunapelekwa kwenye mfumo wa fedha wa kidigitali ukiangalia ni mfumo mzuri lakini ni mfumo unaorahisisha kutawaliwa.
Kwa kuwekeza kwenye huu mfumo kuna watu wanaenda kuwa Deca millionaires na kuna wengine wana kuwa mafukara kupindukia
 
Hawa ni Watoto wa Mama Edsoni ,Nabii No 1, kwa uongo Duniani.
Pia ni Dhehebu la utabiri na Ramli .

Walishatabiri mwisho wa Dunia wakaangukia pua kipindi cha mama yao wa uongo.

Majuzi tu kipindi cha Corona wakatabiri tena na kutuambia mara Tauni na Corona ndio mwisho nako wamedondokea pua.wao ni Ramli kwa kwenda mbele hawaachagi wapa kujifunza wao wanajua.
 
kama wewe ni mkristo soma biblia yako kila kitu kimeandikwa.chambua tena uelekeo wa siasa na uchumi wa dunia kila kitu kipo wazi.
 
Hiyo haitotokea mkuu. Hususan kipindi hiki ambacho kuna super power race. Hizo nadhari ni mfu tu.
 
Hiyo haitotokea mkuu. Hususan kipindi hiki ambacho kuna super power race. Hizo nadhari ni mfu tu.
lazima itokee mkuu hata vita vya ukraine ni huo mchongo.unaowaona maadui mchana usiku ni marafiki.mfano NATO(USA) anaisaidia ukraine huku anaruhusu urusi kuuza mafuta huoni wanalengo moja?angalia pia sasa hivi tunapelekwa kwenye matumizi ya fedha ya mitandao yaani baada ya muda tutaacha kutumia cash ni maandalizi ya kuja kututawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…