technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO.
Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320.
Zilizokwapuliwa kupitia bank hiyo hivyo TANESCO itaamuliwa kulipa deni hilo huku waliendelea kuweka pesa kwa ajiri wa kuilipa IPTL
My take: Kumbe siri ya kupanda umeme January ndio hiyo TANESCO wanahaha kuhakikisha wanawakamua wananchi ili kulipa deni la IPTL na standard chartered yaani kiufupi TANESCO sasa wanadaiwa Mara mbili.
Masikini Tanzania nawaonea huruma sana wanachi hasa wa vijijini waliowekewa umeme kwa mbwembwe kwa miradi ya Umeme vijijini sasa wanazidi kukamuliwa na serikali kupitia Tanesco.