Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Tatizo ni CCMScrowNamlaani Kikwete na kizazi chake chote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni CCMScrowNamlaani Kikwete na kizazi chake chote
Nimecheka kwa uchunguNaona saizi kuwa Na Umeme ndani ni anasa.
Namlaani Kikwete na kizazi chake chote
TFS?1. Dhambi vizazi na vizazi vya maskini. Salamu kwa JK na Lowassa.
2. Aliyeko alitamka kuwalinda, na hivi majuzi amekiri hatofukua makabuli, kwa kuwa hana 'ubavu' wa kuyafukia
3. Je TFS mpo?
Wakiruhusu tu, Tanesco inafirisikaHivi hakuna uwezekano wa kuwa na mashirika mengi ya umeme kama yalivyo makampuni ya mitandao ya simu?
Nadhani mambo kama haya ndio tulitakiwa kukomaa nayo.....Hii sera ya monopoly kwenye baadhi ya mashirika inaumiza sana maana haina ushindani?Wakiruhusu tu, Tanesco inafirisika
Kuwalazimisha watanzania kulipa deni wasilo na maslahi nalo kwa sababu ya wajanja wachache! Inauma sana!!!Nadhani mambo kama haya ndio tulitakiwa kukomaa nayo.....Hii sera ya monopoly kwenye baadhi ya mashirika inaumiza sana maana haina ushindani?
Mkuu umeua kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24]Sometomes huwa nao ni kama dhambi kuzaa na kumleta kiumbe wa Mungu aje aishi kwenye hii nchi ilyojaa watu ambao ni irresponsible citizen.
Hii nchi imejaa dhuruma kila mahala,wao ccm waendelee tu kutawala hakuna shida.Sometomes huwa nao ni kama dhambi kuzaa na kumleta kiumbe wa Mungu aje aishi kwenye hii nchi ilyojaa watu ambao ni irresponsible citizen.
Upo wa gas ya mtwara mkuu usihofu mambo poa kabisa,hapa kazi tu.Naona saizi kuwa Na Umeme ndani ni anasa.
Die slowly.Ndio nchi yako what you will do?
IPTL Mzimu unaoitafuna Tanzania,Bila shaka mwenye hili dubwasha ni yule mkuu wa dunia.Piga kelele ujuavyo lipo tu. tusipoangalia litakuwepo vizazi na vizazi.pumbavu sana.Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO.
Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320.
Zilizokwapuliwa kupitia bank hiyo hivyo TANESCO itaamuliwa kulipa deni hilo huku waliendelea kuweka pesa kwa ajiri wa kuilipa IPTL
View attachment 432820
My take: Kumbe siri ya kupanda umeme January ndio hiyo TANESCO wanahaha kuhakikisha wanawakamua wananchi ili kulipa deni la IPTL na standard chartered yaani kiufupi TANESCO sasa wanadaiwa Mara mbili.
Masikini Tanzania nawaonea huruma sana wanachi hasa wa vijijini waliowekewa umeme kwa mbwembwe kwa miradi ya Umeme vijijini sasa wanazidi kukamuliwa na serikali kupitia Tanesco.
Enzi za JPM kila kitu ni anasa.Naona saizi kuwa Na Umeme ndani ni anasa.
Duuuuh mkuu punguza hasiraEnzi za JPM kila kitu ni anasa.
1.Kunywa chai, anasa.
2.Kusafiri nje, anasa.
3.Mikutano ya kisiasa, anasa.
4.Kuwa na umeme, anasa.
5.Kupata mafao yako kutoka kwenye mifuko ya kijamii, anasa.
6.kupata mikopo ya Chuo kikuu, anasa.
7.Kuangalia Bunge LIVE, anasa.
8.Stahiki za Seif, anasa.
9.Kuwasaidia wahanga wa tetemeko la Kagera, anasa.
10.Uhuru wa vyombo vya habari, anasa.
............Nadhani ipo siku hata kupumua kutakuwa ni anasa.