Masiki wee!! Yule rais wa wanyonge sijui yuko wapi? Kafulila alimwambia hakusikia walijifanya hawaoni wala kusikia, maisha yalivyotaiti natabiri wapo wananchi wataanza kuvaa chupi kichwani,
Watoto wao mmewanyima mikopo, mmewafutia posho na marupurupu vikaoni, mmewapandishia asilimia wadaiwa Heslb, huku mtaani T.R.A, halmashaur na Majembe(vishoka wa t.r a) wanapishana tu maduka na vibanda vinatiwa makofuli tu, huku baadhi ya bidhaa zikipaa bei, tunaendlea kumuomba Mungu mvua inyeshe tukalime nako matumaini ni kidogo maana mpska muda huu jua ni kali sana mbaya zaidi yule rais wetu sisi masikin alishaapa hatatoa chakula cha msaada kwa halmashauri yeyote alisema ni uzembe kukosa mavuno
NI MUNGU PEKEE AJUAE TUENDAKO