Tetesi: Siri ya TANESCO kupandisha umeme kuanzia January ni kulipa deni la IPTL

Tetesi: Siri ya TANESCO kupandisha umeme kuanzia January ni kulipa deni la IPTL

Yaani tunalipia wizi au utajirisho wa baadhi ya watu wasiopenda kufanya kazi
 
"Mtukufu" alisha sema hafukui makaburi,hivyo tutawalipia wale wezi wa Lumbesa za Stanbic bank
 
Wale mliokuwa mkiimba nyimbo ya wapinzani kuisoma namba naomba mje tena mkaimbe kale ka wimbo
 
Jaribuni kumkumbuka jamaa aliyehutubia wazee wa CCM na kuwadanganya kuwa fedha ya ESCROW sio pesa ya Tanesco na akapigiwa makofi mengi sana, halafu wakapunguza bei na baadae uchaguzi ukafuata, sasa wameshinda hawana shida tena wacha tuisome namba
 
Jaribuni kumkumbuka jamaa aliyehutubia wazee wa CCM na kuwadanganya kuwa fedha ya ESCROW sio pesa ya Tanesco na akapigiwa makofi mengi sana, halafu wakapunguza bei na baadae uchaguzi ukafuata, sasa wameshinda hawana shida tena wacha tuisome namba
Sahihi yupo kwenye baraza haaah hii nchi bwana....
 
Nilisikia Prof Muhongo Alisema Yeye Ni Mtaalam Wa Kugandisha Gas InakuwA Kama Uji Mzito Nadhani Anataka Kutunywesha Huo Uji Sasa
 
IPTL Mzimu unaoitafuna Tanzania,Bila shaka mwenye hili dubwasha ni yule mkuu wa dunia.Piga kelele ujuavyo lipo tu. tusipoangalia litakuwepo vizazi na vizazi.pumbavu sana.
Mzimu wa watu wa kale,bunge lingefanya kikao maalumu ili tujue ukweli kuhusu IPTL na jinsi ya kumaliza unyonyaji mamboleo.
Ikiwezekana adhabu ya kifo ipitishwe kwa mtu au kundi lililotufikisha hapa bila kujali vyeo vyao.
 
Alikuja kwa kasi ya ajabu tukamwambia subiri tuone kama utagusa hayo makaburi yaliyotegwa na kutegeka tuone kama atavunja hiyo mikataba adhimu inatuumiza watanzania wote.....yanai kweli tumeitaka wenyewe nchi haina mwenyewe wanaojinadi kukimbiza ufisadi naona wameanza kulewa sifa na utukufu!!! Hakuna cha mnyonge wala muungwana hapa!!! Tumeichagua wenywe
 
Wanajamvi amani iwe kwenu

Kwa maoni yangu kutokana na Tanesco kukabwa koo kisheria na standard charted bank ya Hong kong juu ya IPTL kuhusu malipo ambayo ni mzigo mkubwa mno kwa wananchi wanyonge hivyo ili kukwepa hilo, Serikali iitangaze mufilisi jina la Tanesco kwa hisa zote 100% na kuanzisha taasisi ya uzalishaji nguvu za umeme Tanzania kwa share mpya na kuchonganisha ushindani hilo linaweza kusaidia kisheria kuwepa limzigo likubwa mno na kusaidia wananchi, maana sasa Tanesco inabanwa sana na wale wa kule mbali kwa mikataba ilioingia bila kustukia harufu ya baadae
wazo zuri tu. wao wakale wapi? nasikia hata Yale majenerator ya Kinyerezi ni yakwao.
 
Manyag'au CCM,wamegawana pesa na nyingine wakapeleka kwenye kampeni halafu wanyonge wanalipia walaaniwe Muhongo na CCM yake.
 
Jamani tuahauriane na nini kifanyike .Hizi Mita za Luku ndio kikwazo ,walau zingalikuwa ni zile za kuja kusomewa bill walau tunge dinda kutolipa na ambao wangekuja kukata umeme tungemalizana nao...

Inakera na inatuumiza sana kwa walio madarakani kuwaumiza masikini wasio na chochote.Mabillioni yote hayo aisee !!..Ile faida ya Gesi waliyokuwa wakipayuk kila wanapomulikwa na kamera ipo wapi ?..
 
Manyag'au CCM,wamegawana pesa na nyingine wakapeleka kwenye kampeni halafu wanyonge wanalipia walaaniwe Muhongo na CCM yake.

Mission complete ,wapo madarakani kwa sasa kupitia chapaa yetu...
 
Hizi hela si tayari walishachukua aiseee tunalipa mara mbilimbili? Nchi hii inatia Hasira.Tulifikiri Magu atatukomboa lkn huenda ndiyo akatupeleka kuzimu kabisa
 
Back
Top Bottom