Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hizo hela waliochukua wanajulikana kwanini tulipe watanzania wote? Huenda hata Rais naye sio Mzalendo aiseer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadhani au unahisi ni nini kilichofanya umeme upande, au vipuri na gharama za uendeshaji zimepanda, na hili kwanini mtukufu halioni na wala sijasikia akiliingilia, wakati tunaoumia ni sisi tuliowapa kura,Wambeke ata Adrian akija kujibu tuhuma Unafikiri atakubali kwamba ni kweli wamepandisha bill ili kulipa madeni?
Tatizo letu watanzania kiswahili kingi wakati hatujui lolote.
Si kila unachokiona kipo sahihi. Mengine ni uzushiPesa wameiba watu wachache wa ccm Leo tunalipishwa wananchi ccm Mungu Anawaona.
Lizaboni,YEHODAYA,Muda wote ,Wakudadavuwa
Na ccm watapata wapi? pesa za kuchakachulia matokeo ya uchaguzi. Wee unafikiri hizo pesa za kuwalipa wasanii wote wale huwa zinatoka wapi? jiongeze mkuu, pesa huwa zinachukuliwa kwa viini macho vya kushindwa kesi, hapo upo?Hivi hakuna uwezekano wa kuwa na mashirika mengi ya umeme kama yalivyo makampuni ya mitandao ya simu?
Huu ni Ujinga iliopitiliza,Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO.
Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320.
Zilizokwapuliwa kupitia bank hiyo hivyo TANESCO itaamuliwa kulipa deni hilo huku waliendelea kuweka pesa kwa ajiri wa kuilipa IPTL
View attachment 432820
My take: Kumbe siri ya kupanda umeme January ndio hiyo TANESCO wanahaha kuhakikisha wanawakamua wananchi ili kulipa deni la IPTL na standard chartered yaani kiufupi TANESCO sasa wanadaiwa Mara mbili.
Masikini Tanzania nawaonea huruma sana wanachi hasa wa vijijini waliowekewa umeme kwa mbwembwe kwa miradi ya Umeme vijijini sasa wanazidi kukamuliwa na serikali kupitia Tanesco.
Umesahau na mshahara wa Jecha.Na ccm watapata wapi? pesa za kuchakachulia matokeo ya uchaguzi. Wee unafikiri hizo pesa za kuwalipa wasanii wote wale huwa zinatoka wapi? jiongeze mkuu, pesa huwa zinachukuliwa kwa viini macho vya kushindwa kesi, hapo upo?
nasikia Muhongo kazuia hilo ongezeko.Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO.
Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320.
Zilizokwapuliwa kupitia bank hiyo hivyo TANESCO itaamuliwa kulipa deni hilo huku waliendelea kuweka pesa kwa ajiri wa kuilipa IPTL
View attachment 432820
My take: Kumbe siri ya kupanda umeme January ndio hiyo TANESCO wanahaha kuhakikisha wanawakamua wananchi ili kulipa deni la IPTL na standard chartered yaani kiufupi TANESCO sasa wanadaiwa Mara mbili.
Masikini Tanzania nawaonea huruma sana wanachi hasa wa vijijini waliowekewa umeme kwa mbwembwe kwa miradi ya Umeme vijijini sasa wanazidi kukamuliwa na serikali kupitia Tanesco.
Kwa nini serikali isilipe hiyo deni?wananchi hawajaingia huo mkataba,wala hajala hiyo rushwa,sasa unapandisha umeme ili viwanda zisijengwe na bei ya vitu kupanda.Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO.
Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320.
Zilizokwapuliwa kupitia bank hiyo hivyo TANESCO itaamuliwa kulipa deni hilo huku waliendelea kuweka pesa kwa ajiri wa kuilipa IPTL
View attachment 432820
My take: Kumbe siri ya kupanda umeme January ndio hiyo TANESCO wanahaha kuhakikisha wanawakamua wananchi ili kulipa deni la IPTL na standard chartered yaani kiufupi TANESCO sasa wanadaiwa Mara mbili.
Masikini Tanzania nawaonea huruma sana wanachi hasa wa vijijini waliowekewa umeme kwa mbwembwe kwa miradi ya Umeme vijijini sasa wanazidi kukamuliwa na serikali kupitia Tanesco.
Hahahahahaaaa....Nilisikia Prof Muhongo Alisema Yeye Ni Mtaalam Wa Kugandisha Gas InakuwA Kama Uji Mzito Nadhani Anataka Kutunywesha Huo Uji Sasa