Mimi naangalia hii ishu ya Samia na Lissu kwa jicho la mbali sana, IPO hivi wakati wa Lissu akiwa amejeruhiwa Samia alifika mpaka Kenya.
Pia Samia alipokwenda Belgium alionana na Lissu na kumpatia passport,mafao na gari lake na kumuomba arudi nyumbani. Nilipoona Mbowe ameondoka uenyekiti na kuupata Lissu nikasema hapa lazima kuna mchezo utachezwa tu(Lissu atapewa kesi ya kijanja).
Nini ninacho kiona CCM itaanguka kwa makubaliano ya hawa wawili kuna kitu kikitimia ndio nitajua kweli walikuwa kwenye huo mpango.