Nilikua namkubali alikiba kuwa hapelekeshwi na kelele za mashabiki wakimtaka atoe nyimbo kila saaa,nikaamini ni msanii alie na misimamona malengo yake binafsi.
kumbe nyuma ya pazia hali ni tofauti,mwenzangu anatamani kweli kuachia nyimbo kama aslay bandika bandua shida ni pesa tu inasumbua,jamani u star huuuuuuuuuu ptuuuu.
sasa si afungue studio yake awe anajitengenezea nyimbo mwenyewe aziachie kwa fujo kama wenzie,ukimya wakati haufanyi kazi kwa bidii huu ni uchokoraaaa