mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
We ulitaka a record kwa buku 30000Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ulitaka a record kwa buku 30000Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Mjivuni, kiburi, u much knw utamfelishaAlikiba si mashabiki wake wanamuona ana hela, alipe bills sasa
Alafu msanii anaenda kupiga show kwa 10 millions +. Is it fair? Does it sound good to you? Producers hawathaminiwi Tanzania.Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Matusi kwa mtu anayejilisha ni umamaNilikua namkubali alikiba kuwa hapelekeshwi na kelele za mashabiki wakimtaka atoe nyimbo kila saaa,nikaamini ni msanii alie na misimamona malengo yake binafsi.
kumbe nyuma ya pazia hali ni tofauti,mwenzangu anatamani kweli kuachia nyimbo kama aslay bandika bandua shida ni pesa tu inasumbua,jamani u star huuuuuuuuuu ptuuuu.
sasa si afungue studio yake awe anajitengenezea nyimbo mwenyewe aziachie kwa fujo kama wenzie,ukimya wakati haufanyi kazi kwa bidii huu ni uchokoraaaa
Unajua bei ya kurecord kwa LIZER huyo anaetengeneza hit za diamond?Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
mwambie asee,msaidie kumueleweshaAlafu msanii anaenda kupiga show kwa 10 millions +. Is it fair? Does it sound good to you? Producers hawathaminiwi Tanzania.
Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Endeleeni hamjui kitu maneno mengi.Alikiba anatatizo tena kubwa kweli kweli, Hata abydad anamlalamikia hajalipwa pesa zake na amekata mawasiliano nae baada ya kuproduce ngoma na WCB kokoro. Huyu jamaa ana EGO sana itabidi man water amfundishe adabu next time akiwasiliana nae arecord maongezi yake kisha amfikishe mahakamani ndo atatia adabu. Asilete ustaa kwenye maisha ya watu na familia zao.
sasa kama hela ya kurekodia hana ya kufungua studio anayo?Nilikua namkubali alikiba kuwa hapelekeshwi na kelele za mashabiki wakimtaka atoe nyimbo kila saaa,nikaamini ni msanii alie na misimamona malengo yake binafsi.
kumbe nyuma ya pazia hali ni tofauti,mwenzangu anatamani kweli kuachia nyimbo kama aslay bandika bandua shida ni pesa tu inasumbua,jamani u star huuuuuuuuuu ptuuuu.
sasa si afungue studio yake awe anajitengenezea nyimbo mwenyewe aziachie kwa fujo kama wenzie,ukimya wakati haufanyi kazi kwa bidii huu ni uchokoraaaa
kuna STUDIO na BORA STUDIOsasa kama hela ya kurekodia hana ya kufungua studio anayo?
hela ya kulipia kodi ya kupanga chumba huna ya kujengea nyumba utakuwa nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule Dada anaitwa difa sijui giver atakuja kumtetea soon.Mbona watetezi wake siwaoni hapaa...
Jamani kuna nini tena kimemsibu King!!!?