Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Duh Numbisa akikusikia utajamba checheAfungue hata studio ya kutafsiri movie za ki Afghanistan kwenda kwenye kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Numbisa akikusikia utajamba checheAfungue hata studio ya kutafsiri movie za ki Afghanistan kwenda kwenye kiswahili
Kwa sasa hiyo ndo bei mkuu kwa kila producers tena kwa navy kanzo ni moja na nusuTatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Msamehe bure tu huyo msukuma mwenzagu @citizenb kazoea studio za Tivoli elf sabin tu unatoa bonge la ngoma na unakuwa star mkubwa tu kama akina BudagalaUnajua bei ya kurecord kwa LIZER huyo anaetengeneza hit za diamond?
Unajua bei ya Master J, master J akae studio atengeneze ngoma yako?
Unamjua P funk unajua gharama za mikono yake?
Achana na Production,Uliza tu bei za Studio time kwa hao watu nliokutajia uskie.
Man walter sio underground ni HIT MAKER huyo anajua anachokifanya,hiyo 1M yenyewe ni kisela tu.
Sema angemlipa manwalter nimesikiliza interview zote nne yani ile aliyoifanya manwalter Azam tv ilikuwa ya kwanza, halfu ikaja ya clouds ambapo alikiba akajibu ikaja hii ya wasafi.
Nime conclude alikiba hana shukurani na ana majivuno,
Switch rekod unajua shngap?? Wanene ent. Unajua sh ngap,kimamba unajua bei yake?? Zote izo studio kubwa lakini ni lak5 unarekod chupa....tena kuna wanangu walirekod hadi kwa s2kz kwa laki5 pesa halali kwa matumizi ya mtanzaniaMsamehe bure tu huyo msukuma mwenzagu @citizenb kazoea studio za Tivoli elf sabin tu unatoa bonge la ngoma na unakuwa star mkubwa tu kama akina Budagala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona watetezi wake siwaoni hapaa...
Jamani kuna nini tena kimemsibu King!!!?
Numbisa sio fan wa Kiba
Sio kisera ni kisela. Zwazwa kuu lisilojua kiswahili. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti Kisera tu, Kuna Mazwazwa Dunia Hii
Eti Lizer anatengeneza Hit Za Diamond labda Matakataka, Mara ya Mwisho Diamond kutoa hit ya Idea yake sijui ilikua Lini..
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Walikua wanaaminisha watu maisha ambayo hawana... Sasa wanaanza kuadhirikaNaamini tatizo kubwa la Kiba lilikuwa yule meneja wake Seven. Dada ana maringo sijawahi ona.
Maproducers wa tz ni wapumbavu sana wasanii wakubwa wote huwa wanarekodi bure na wana hela wanafanya show 5m,10m n.k lakini cha kushangaza ma underground ndio wanaotoa hela so acha walizweUnajua bei ya kurecord kwa LIZER huyo anaetengeneza hit za diamond?
Unajua bei ya Master J, master J akae studio atengeneze ngoma yako?
Unamjua P funk unajua gharama za mikono yake?
Achana na Production,Uliza tu bei za Studio time kwa hao watu nliokutajia uskie.
Man walter sio underground ni HIT MAKER huyo anajua anachokifanya,hiyo 1M yenyewe ni kisela tu.
Am telling you. Huyu dada the last time nimekutana nae kwenye masuala ya muziki, nikasema no wonder Kiba amekwama. Huwezi kwenda na manager mwenye dharau vile.Walikua wanaaminisha watu maisha ambayo hawana... Sasa wanaanza kuadhirika
Nazani sound $ inama ni za Kung kibaEti Kisera tu, Kuna Mazwazwa Dunia Hii
Eti Lizer anatengeneza Hit Za Diamond labda Matakataka, Mara ya Mwisho Diamond kutoa hit ya Idea yake sijui ilikua Lini..
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Wote wanalingaNaamini tatizo kubwa la Kiba lilikuwa yule meneja wake Seven. Dada ana maringo sijawahi ona.