Siri ya ukimya wa mfalme(KING) Alikiba kutoa nyimbo ya bumburuka, Man walter kamwaga mchelee kweupe

Alikiba anatatizo tena kubwa kweli kweli, Hata abydad anamlalamikia hajalipwa pesa zake na amekata mawasiliano nae baada ya kuproduce ngoma na WCB kokoro. Huyu jamaa ana EGO sana itabidi man water amfundishe adabu next time akiwasiliana nae arecord maongezi yake kisha amfikishe mahakamani ndo atatia adabu. Asilete ustaa kwenye maisha ya watu na familia zao.
 
Matusi kwa mtu anayejilisha ni umama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Unajua bei ya kurecord kwa LIZER huyo anaetengeneza hit za diamond?

Unajua bei ya Master J, master J akae studio atengeneze ngoma yako?

Unamjua P funk unajua gharama za mikono yake?

Achana na Production,Uliza tu bei za Studio time kwa hao watu nliokutajia uskie.

Man walter sio underground ni HIT MAKER huyo anajua anachokifanya,hiyo 1M yenyewe ni kisela tu.
 
Ali Kiba kumbe mzinguaji Sana , alaf ana kibur , Man water kaongea kiutu uzima sana
hata mimi nimependa anavyoongea,he is humble hana ubabe wala hatafuti kiki anataka tu haki yake baba wa watu.
 
Alafu msanii anaenda kupiga show kwa 10 millions +. Is it fair? Does it sound good to you? Producers hawathaminiwi Tanzania.
mwambie asee,msaidie kumuelewesha

producer wanaojitambua kama PFUNK kumkalisha chini akutengenezee single AUDIO bei yake hiyo heeeeeh
 
Endeleeni hamjui kitu maneno mengi.
 
sasa kama hela ya kurekodia hana ya kufungua studio anayo?

hela ya kulipia kodi ya kupanga chumba huna ya kujengea nyumba utakuwa nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama hela ya kurekodia hana ya kufungua studio anayo?

hela ya kulipia kodi ya kupanga chumba huna ya kujengea nyumba utakuwa nayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna STUDIO na BORA STUDIO

sidhani kama alikiba atashindwa fungua Bora studio ajirekodi humo atoe miziki ovyo kama kina s kide na wenzake wengine wengi.

uwezo wa kununua computer anao vispika Fl studio akatafuta producer wake wa kuunga unga mwana akafanya yake,maisha yangemuendea tu fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…