Siri ya ukimya wa mfalme(KING) Alikiba kutoa nyimbo ya bumburuka, Man walter kamwaga mchelee kweupe

Sasa ndugu yangu msanii mkubwa kama huyo ulitaka amtoze kiasi gani??

Toa hela upate pesa hiyo ndio sheria mkuu,habari ya kuleta ustaa kwenye maisha ya watu sio poa kabisa
Liwa ule

kelphin kepph
 
man water anabusara sana kama angetaka kumchafua kiba huu ndo ulikua upenyo bt kazungumza kistarabu sana
 
Yaani mtu kakosa hela ya kumlipa mtu deni lake tunashikia bango, watanzania sisi wachawi
 
Eti Kisera tu, Kuna Mazwazwa Dunia Hii

Eti Lizer anatengeneza Hit Za Diamond labda Matakataka, Mara ya Mwisho Diamond kutoa hit ya Idea yake sijui ilikua Lini..

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Tumekupata AMINA KIBA

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Tatizo man Water naye ana bei mno...eti unarekod ngoma moja kwa mil 1???
Mfumo wa man walter kufanya recording uko todauti kidogo kuna watu tofauti wanashiriki kuingiza vionjo vya live, mfano mafioso analipwa kwa ajili ya guitar tu na trumpet kuna mzee anatumiwa hata na diamond anaingiza live, Jamaa hana mziki wa kuchora kwenye computer ndio maana sijashangaa hilo.
 
Nifah , ila huyu alishaamua ku laylow. Kuna huyu anaitwa Numbisa.
Kama sio mganga huyu basi tu.
Numbisa sio fan wa kiba Wala hampendi kabisa kiba ila ni fan wa zari na pia ni hater wa diamond na sababu kubwa ilimfanya amchukie diamond ni baada ya diamond kumtema zari.
 
Sina chuki na kiba wala sishabikii bongo fleva

Point of correction domo alitemwa siku ya Valentine

#blackrose
Numbisa sio fan wa kiba Wala hampendi kabisa kiba ila ni fan wa zari na pia ni hater wa diamond na sababu kubwa ilimfanya amchukie diamond ni baada ya diamond kumtema zari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…