Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Kwa nini mkuu?Mkuuu......
Jina Hili wadau hawakubalian kabisa........
Na wala awataki kuskia likitajwa.......!
Uzi wako ni wa kiuwoga.Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Utajiri wa mtu ni suala binafsi mpaka ikitokea vyombo vya vya dola vikihitaji kisheria maelezo ya utajiri huo, Haiwezekani tu eti Yamakagashi aniambie nitoke nielezee nimepata wapi huo utajiri. Huna ulichoibiwa alafu unasaka mwizi?Hivi kuna mtu anaweka wazi siri ya utajiri wake ? Kama wapo ni wachache sana
Ndo hivyo ..........Kwa nini mkuu?
Yeah. Nimeona instagram anatajwa kuitwa central ila kaitwa bila media kama ilivokuwa kwa wengineNdo hivyo ..........
Mkuuu we soma tu huu Uzi utagundua Ila at a kwa kutumia akili ya kawaida MTU unaemjua Majizo lazima ujiulize Mara 2.........
Mkuu mbona umefukua huu Uzi unataarifa yoyote ....? Au jina limetoka....?
pia kinachonifurahisha toka kwa majizo ni kutojibizana na wanaomshuku na kumponda kwa vijinenoHivi ni lazima mtu kuweka wazi siri ya mafanikio yake?
Huyo Mange aliripoti kituo gani cha polisi? Vijana huwa wanajidai wana uchungu na maendeleo na wanapenda maendeleo lakini kijana mwenzao akiendelea basi watampiga vita hadi....huyo Mange huwa ana ugomvi na kila aliyefanikiwa...
Kwanini vijana wote msiungane na nyinyi mfanye hizo biashara ili mfanikiwe kama majizzo kama mnafikiri ni rahisi kiasi hicho?
Mimi ninachofurahi kutoka kwa Majjizo ni kutupa burudani na kutuhabarisha na pia kuleta ushindani.
OK......Yeah. Nimeona instagram anatajwa kuitwa central ila kaitwa bila media kama ilivokuwa kwa wengine
Yule mwingine yupi mkuu. Maana Jana walienda Tunda na vanesa?OK......
Kama Jana kaitwa yule mwingine inawezekana akawa kaitwa nafiri muda wa mapapa umeanza..........!
Kwa mfano akiomba msamaha na kuachana na hiyo biashara itakuaje.....?
Kuna mwingine mkubwa kaitwa Jana....Yule mwingine yupi mkuu. Maana Jana walienda Tunda na vanesa?
Au huyu ww mawingu FM?Kuna mwingine mkubwa kaitwa Jana....
Jina silijui vizuri.......
Awa wakubwa wao Amna promo ya Midia......
Kama serikali ipo serious na hili jambo basi itafahamika tu. Lisemwalo lipo kama halipo......Majizo alikuwa anamiliki hisa nyingi sana magic fm hilo mlikuwa hamlifahamu?? Baada ya kuuza hisa zake ndio akasepa kwenda kuanzisha kituo chake mwenyewe.