Siri ya utajiri wa Majizzo

Kama unayo evidence ya wrong doing then you have the right to question lakini kama huna kinachokusumbua ni majungu na roho ya umaskini. KWamba kwanini mimi sina wao wanacho. F.u.c.k Dude change that stupid mindset sababu ni ya kilofa. You don't need 10 years to be a millionaire even five years is enough to hit a 1 million dollar mark.

Kwa hiyo jaribu kuhangaika na maisha yako unless kama unao ushahidi kwamba anafanya kitu ambacho siyo lakini kama huna just shut up anfd focus on looking for money to feed your family. Mnalia lia hali ngumu wakati badala kuzidirect akiliu katika utafutaji wa pesa mnazi direct katika utafutaji wa majungu..
 
Tv Na redio gan hizo?
 
Kwenye hiyo miaka kumi aliyokaa kimya alikua ana heka 100 za shamba la miti Iringa, alivyouza ndiyo akafungua radio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio habari sahihi ila nimejaribu kukustua tu kuwa sio lazima uuze ngada ndiyo upate mafanikio!!! Huwez jua mtu kahustle vp kufikia hapo! Tuacheni wivu jamani
 

Kama mnakuwa hamjuwi mambo mnakuwa mnauliza! Majay amekuwa mmilikiw wa DTV kwa miaka 4 na ilikuwa ikifanya vizuri saana alikuwa na matangazo mengi sana vivyo hivyo UEFA ilimpa mkwanja mwingi sana! Haitoshi Majay ni mmiliki wa Club kubwa tanzania inamatawi mengi nchi mzima ya Maisha Clubu!

Kampuni yake ya E mstrs imekuwa ikiingiza mkwanja sana kwa kuleta wasanii wengi toka nje sasa kama watu hamjuw DTV ilikuwa ya majizo na vifaa vyake vyote vilikuwa mali yake! Baadae aaachana nayo now ana ETV
 
Tafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!

Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubaliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo wewe wa chole ndo maana!
 
EFM ina matangazo ya kutosha mdau, ww isikilize tu.

Labda mambo ya coverage, ila usikariri sana kuhusu kusikika nchi nzima au nusu, maana hakuna FM station iloanza ikaskika nchi nzima, zilianzia na coverage ndogo kisha ikaja kubwa.

Clouds imeanza muda tu ila 2005 ndo imefika DODOMA, radio one ilianzia dsm ikaja mikoa mitano tu kwa FM now nchi nzima, EA RADIO ilikua DSM, KAMPALA NA NAIROBI now inaskika sehem kubwa, same to Magic Fm haina miaka mingi Dodoma na moro, Ila suala la utajiri wake ni lake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…