Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia na kakijana ka Madale nako kanaingia kwenye kundi la akina MajizoKutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Kama unayo evidence ya wrong doing then you have the right to question lakini kama huna kinachokusumbua ni majungu na roho ya umaskini. KWamba kwanini mimi sina wao wanacho. F.u.c.k Dude change that stupid mindset sababu ni ya kilofa. You don't need 10 years to be a millionaire even five years is enough to hit a 1 million dollar mark.Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mm enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari... Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa...sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution... Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
Tv Na redio gan hizo?Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
Ndo tulivyo tzWatatoka kwenye kuuza unga wataanza kusema yuko freemason. Akili zao zinaishia hapo
Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo wewe wa chole ndo maana!Tafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!
Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubaliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
EFM ina matangazo ya kutosha mdau, ww isikilize tu.Mange anamwekaga ktk ile list yake,hata mm naamini ,maana jamaa anachokifanya ni kama kutakatisha fedha,amekuja na radio haina hata miaka mitano na haina hata coverage nusu ya tz nzima analeta TV,bora hata redio tungeona imejiimarisha na matangszo ya kutosha,redio yenyewe matangazo ya kuokoteza,hii faida gani ndani ya muda mfupi imefanya azalishe TV?? Huyu naanza kuamini maneno ya Mange,kuuza ngada