Siri ya utajiri wa Majizzo

Fanya kazi acha kufatilia maisha ya mwanaume aliefanikiwa hayatakusaidia
 
Akili ndogo sana hizi,kumiliki kituo cha redio na tv kwa kuanzia huhitaji hata zaidi ya 400 milion,kazi ni kuvinyanyua.
Ukiona mtu anatangaza tujadili ukwasi wa mtu ujue huyo ameshafeli maisha,muda si mrefu atakuwa mchawi
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.

hahahah hilo jiwe hiloo , lazima limgonge mtu
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
ukiona mtu anafanya reference kwa huyo akili ndogo jua na yeye ni akili ndogo anayejidai ana masters hebu muulizeni dissertation yake topic ilikuwa nini 😀😀😀
 
It's you to change your mind-set. If your peers blow up right in front of your eyes, it's only natural to wanna know how they did it, to see what you can learn from their moves.
KWa hiyo unataka kusemaje Mr keyboard warrior ...
 
Kisa redio yake sio rafiki wa ccm mbona siri ya utajiri wa kitwanga,rzimoko,masele,ruge n.hamsemi ubwabwa on the way
 
Mimi watu wanaofanya references kwa Mange huwa siwaelewi kabisa akili zao zilivyo. Huwezi ukawa mtu mzima na akili timamu ukamtumia Mange kama reference.
Wanasema wanampenda kweli eti ni msema kweli.
 
E-FM ni ya mama Sweya mmiliki wa maisha club... Majizzo wapambe tu... Kama clouds mpambe rugemalira ila mmiliki joe kusaga (kusaga family)
Kwani Majizzo naye si mtoto wa mama Sweya?..Yeye na wadogo zake ndio wanasimamia Maisha Clubs zote
 
Hivi mama Sweya ndo mama yake mtangazaji Paul James au!?
Hebu tupe habari vizuri Mkuu, nimeona mawazo yako yanafaa hasa kuelimisha umma.
 
Tatizo ni kuanzisha redio au tatizo ni kuwa na redio yenye ubunifu wa hali ya juu?zimeanzishwa redio ngapi hivi karibuni?why efm.kuna mtu anachoka vituko vya mkude simba?ishu ni ubunifu tu.huku mkude kule kwenye tv kuna kizingiti wanatoa stress.siyo redio kutwa haileweki.ina mavipindi hadi ya kuamshana asubuh utasikia namuamsha mussa h mussa muuza genge wa handeni.efm wabunifu na watasonga mbele.
 
Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo

Mimi huwa naskiliza kipindi cha michezo tu makampuni ya simu karibu yote+DSTV huwa wanadhamini hicho kipindi .Kwa hiyo wamiliki wa Magic FM,Jembe FM,Radio 5,Times FM nao wanauza sembe?
unatetea wauza sembe mwaka huu cjui kama atapona
 
wamebun nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…