Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

Apana alikua ni mfanyabiashara ya madini.....
Itafahamika. Ila serikal ifikie mahali iache kuishi kwa Ku seek media attention. List ya hawa manguli IPO ikulu
 
Majizo alikuwa anamiliki hisa nyingi sana magic fm hilo mlikuwa hamlifahamu?? Baada ya kuuza hisa zake ndio akasepa kwenda kuanzisha kituo chake mwenyewe.
Radio haiwezi kukutajilisha halaka hi hivyo kma mnavyotaka kutuaminisha.
 
Itafahamika. Ila serikal ifikie mahali iache kuishi kwa Ku seek media attention. List ya hawa manguli IPO ikulu
Wakati wakubembelezana umeshaisha hapa kazi tu watu wanaishi kama malaika kumbe ngada
 
Majizo alikuwa anamiliki hisa nyingi sana magic fm hilo mlikuwa hamlifahamu?? Baada ya kuuza hisa zake ndio akasepa kwenda kuanzisha kituo chake mwenyewe.
Hizo ni njia za kutakatisha fedha.....

Thamani ya magic FM n shi ngap mpaka ikupe fedha za magari, Bangalow, kufungua kitua cha redio na TV wakati mmoja.......
 
Serikali ikiendelea kuwalea hawa mapapa hakika siku chache zijazoTanzania itakuwa imejiimarisha kwenye hii biashara haramu pia kutatokea makundi yenye nguvu kubwa kuzidi hata jeshi la polisi kama ilivo mexico. Just a matter of time.
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...

Huyu Mange Kimambi ni kama mtu aliye katika system anajua mambo mengi sana na labda mengi ni kweli au na yeye ni muhanga wa madawa ya kulevya.
 
Hizo ni njia za kutakatisha fedha.....

Thamani ya magic FM n shi ngap mpaka ikupe fedha za magari, Bangalow, kufungua kitua cha redio na TV wakati mmoja.......
Shangaa sasa wanazani hatujui vipato vya radio
 
Tafuta Cha kwako....ukishajua siri za utajiri wake alafu utafanya nini?!

Role Model wako Mange Kimambi kishakwambia anauza Unga na wewe unavyomuamini Mange umeamua kukubaliana nae sasa unatuuliza maswali ya kutuchora ili iweje?!
Konstebo NGUZU
 
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari

Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.

Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.

It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...
waswahili bana sasa wauza unga waliofulia mbona hamwafwati ila wenye maisha mazuri tu ndio wabaya
 
Majizo alikuwa anamiliki hisa nyingi sana magic fm hilo mlikuwa hamlifahamu?? Baada ya kuuza hisa zake ndio akasepa kwenda kuanzisha kituo chake mwenyewe.
Tuambie alikuwa na hisa % ngapi pale magic na aliuza kwa thamani ya sh ngapi?? Hebu tusaidie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom