Siri ya utajiri wa Majizzo

Siri ya utajiri wa Majizzo

jambo ambalo watu hawalijui ni kwamba majizo ametokea kwenye familia ya kishua baba yao alikua anajiweza na hata ukiangalia familia yao wako vizur na hii investment ya EFM ukiangalia wamiliki wake karibia wote ni ndugu,watu wamesahau kuwa wakina majizo ndo walikua wakimiliki ile club maarufu kule masaki ya maisha club,ndugu yke anayemfuata ndo alikua akiisimamia akishirikiana na mama mmoja nimemsahau jina kwahiyo ukwasi wake wa pesa sio wa u dj ni familia iko vizur
Kumbe yule Mama wa Maisha ni mamake sio?
 
Kutoka kuwa Dj,hadi kuwa mmiliki wa media. Kuna kitu cha ziada alikuwa anakifanya wakati wa U dj kinyume na hapo maswali magumu yanamuhusu.
Kumiliki redio mtaji wake si milioni 50 tu,,? Wala sio pesa ndefu kivile
 
jambo ambalo watu hawalijui ni kwamba majizo ametokea kwenye familia ya kishua baba yao alikua anajiweza na hata ukiangalia familia yao wako vizur na hii investment ya EFM ukiangalia wamiliki wake karibia wote ni ndugu,watu wamesahau kuwa wakina majizo ndo walikua wakimiliki ile club maarufu kule masaki ya maisha club,ndugu yke anayemfuata ndo alikua akiisimamia akishirikiana na mama mmoja nimemsahau jina kwahiyo ukwasi wake wa pesa sio wa u dj ni familia iko vizur
Wana-JF mnayajua hata msiyoyajua matokeo yake mnayajua mambo mengi mno!!

Eti ametokea familia ya kishua, dah!!
 
Back
Top Bottom