Who is Mwigulu? He is just a subordinate of Saada Mkuya ........Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who is Mwigulu? He is just a subordinate of Saada Mkuya ........Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.
Kamati ya akina Mbowe pia wamo Paul Kimiti (CCM), Jenista Mhagama (CCM), William Lukuvi (CCM) na Pandu Ameir Kificho (CCM)Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.
Mkuu Tumaini Makene acha unafiki,ulitaka akubaki ndio uamini ama umuone anafaa?!
Au siku zote ninyi mnayaka tu kuona anakosea?!
Hayo malumbani yenu ya kisiasa pelekeni huko huko,ameharibu tutamwambia,amefanya vyema tutamsifia!!
Mkuu, Mwigulu Nchemba unamuogopa bure, hana uwezo kuchota pesa hazina.
katika kamati iliyoundwa cdm inawakilishwa na mhs mbowe. Msimamo wa chama hakuna kuongeza posho. Zikiongezwa tunajua waliokubali ni chama tawala na ccm b and c. Ieleweke!
Biva Nchemba piga kazi hao wahafidhina wanaokuchukulia poa wakukubali japo sie tunajua kazi yako ni nzuri sana
Attention seeker. Publicity stunt za ajabu kweli kweli hizi.