TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hii ndiyo itakayokata mzizi wa fitina.....Rais atangaze wazi,Wajumbe wasiotaka Posho ya laki Tatu wajiorodheshe waondoke Bungeni,Afanye Uteuzi mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo itakayokata mzizi wa fitina.....Rais atangaze wazi,Wajumbe wasiotaka Posho ya laki Tatu wajiorodheshe waondoke Bungeni,Afanye Uteuzi mwingine.
Katika kamati iliyoundwa CDM inawakilishwa na Mhs Mbowe. Msimamo wa chama hakuna kuongeza posho. Zikiongezwa tunajua waliokubali ni chama tawala na CCM B and C. Ieleweke!
Mkuu, Mwigulu Nchemba unamuogopa bure, hana uwezo kuchota pesa hazina.
Siku hizi kila kiongozi anataka kujionyesha kuwa anafanya yeye hizi misifa bhana ndo utuharibia nchi yetu.
Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.[/QUOT
Kwani kamati ya Mbowe imeridhia posho iongezwe? From which source taarifa ya kamati imetolewa na ongezeko ni sh ngapi? Huu unafiki ndo unaharbu jukwaa hili....
Ukweli wa hilo bandiko umeukubali au ni hadithi hadithi ....?
Kama umeukubali ujumbe/ ukweli, jenga tabia ya kusifia na kama huukubali basi pinga kwa huja.
Kwanini kufanya kejeli hata katika mambo ambayo mtu kathubutu ....?!!!
Mimi serikali inavyofanyakazi naibu waziri hana mamlaka zaidi ya waziri wake badala ya kusema wizara ya fedha hoja inamtaja mwigulu wkt yy alimwakilisha waziri achaneni na misifa. Kwanza posho si hoja ya msingi
Alipoenda kumuwakilisha maana yake ni nini?!!
Kwa maana yake ni kuwa yeye kaleta kauli ya Waziri, haezi ropoka tu kwa nafsi yake bali ni lazima hata Waziri/ Boss wake alikuwa tayari kishajua nini wanaenda zungumza na kamati.
Sasa kitu gani kinakuwa "KIROJA"?!!
Kikwete hadi amalize utawala wake tutamzeesha kabla ya wakati wake.
Attention seeker. Publicity stunt za ajabu kweli kweli hizi.
Siaminiii
Siaminiii
Mleta Mada hajui hata jinsi Serikali itendavyo na mamlaka ya watendaji husika. Kikubwa alichotaka ni kumuinua mtu!Huu ni utawala wa kwanza tangia uhuru ambao NAIBU WAZIRI anakuwa na mamlaka makubwa kiasi hiki. Something is definitely wrong here.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums