ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hukumwambia amekosea alivyolala na mke wa kada mwenzie.Mkuu Tumaini Makene acha unafiki,ulitaka akubaki ndio uamini ama umuone anafaa?!
Au siku zote ninyi mnayaka tu kuona anakosea?!
Hayo malumbani yenu ya kisiasa pelekeni huko huko,ameharibu tutamwambia,amefanya vyema tutamsifia!!
Attention seeker. Publicity stunt za ajabu kweli kweli hizi.
Siyo mwigulu aliyezuia ongezeko la poho yeye kama mwakilishi wa hazina alitakiwa aeleze hali halisi ya kipesa ikoje angekuwa mtu wa ajabu kusema kuna uwezo wa kulipa wakati pesa hamna kumbuka mpaka sasa serikali inakopa pesa nyingi toka kwenye mabenki ya kibiashara kwanini tusiseme waziri wa fedha amezuia posho kuongezwa
Post nyingine huwa ni vituko vitupu.
Mwigulu ni nani huko hazina ? Huyu ni naibu waziri hana sauti hana maamuzi , hana mamlaka , hana haki ya kusema bila kupewa kibali na waziri wa fedha .....huyu kazi yake ni Kujibu maswali na kutumwa kumwakilisha waziri...
Mkuu Tumaini Makene acha unafiki,ulitaka akubaki ndio uamini ama umuone anafaa?!
Au siku zote ninyi mnayaka tu kuona anakosea?!
Hayo malumbani yenu ya kisiasa pelekeni huko huko,ameharibu tutamwambia,amefanya vyema tutamsifia!!
Attention seeker. Publicity stunt za ajabu kweli kweli hizi.
mkuu, siyo vituko mwigulu ni mzalendo sana wa nchi, amegoma kabisa wajumbe bunge la katiba kuongezewa posho, kamati ya akina mbowe walikuwa wanashinikiza posho ziongezwe mwigulu akakataa, hongera sana mwigulu taifa linakutegemea
duhh maneno hayakatika hili Mwigulu ameonyesha uzalendo!. huwezi kuvaa scarf ya nchi shingoni halafu ukawadhulumu wananchi, la sivyo scarf hiyo inaweza kugeuka kitanzi
jiwe limetupwa GizaniHivi wewe huwa unatetea nini? Mtu anatetea pesa za walipa kodi wewe unamwambia attention seeker. Wakati mwingine ona aiubu ficha upuuzi.