Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

Nimezaliwa kijijini,nakumbuka nyumbani kilikuwepo kitanda cha mtoto chumba ingine ile kitanda imetengenezwa dizaini mtoto ata akijirusha hawezi kutoka
Ilikuwa mtoto akiacha nyonyo kwenye miaka miwili na anahamishiwa huko
Mama ilikuwa ikifika mida fulani anapita kila chumba kucheki tulivyolala na kuamsha wengine kukojoa
Vijana wa siku hizi wanazaa hovyohovyo bila mpango,unaishi single room na unataka mtoto
 
Chifu Lazaro kakariri kutoka wapi hii?Kulala chumba kimoja wazazi na watoto tunawaiga wa magharibi? Wa magharibi ninaowajua mtoto hajazaliwa, kashaandaliwa chumba chake na ka mashine ka kumsikiliza na kumuangalia kama analia au anafanya nini.
 
Back
Top Bottom