Nimezaliwa kijijini,nakumbuka nyumbani kilikuwepo kitanda cha mtoto chumba ingine ile kitanda imetengenezwa dizaini mtoto ata akijirusha hawezi kutoka
Ilikuwa mtoto akiacha nyonyo kwenye miaka miwili na anahamishiwa huko
Mama ilikuwa ikifika mida fulani anapita kila chumba kucheki tulivyolala na kuamsha wengine kukojoa
Vijana wa siku hizi wanazaa hovyohovyo bila mpango,unaishi single room na unataka mtoto