Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Iran ametulizwa na kipigoMbona wana hangaika sana ? Wao si wamekwisha piga mabomu balozi watulie sasa mbona wana kiwewe toka wamepiga balozi.
Iran yeye katulia ila wao wanaweweseka🤡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran ametulizwa na kipigoMbona wana hangaika sana ? Wao si wamekwisha piga mabomu balozi watulie sasa mbona wana kiwewe toka wamepiga balozi.
Iran yeye katulia ila wao wanaweweseka🤡
We bwege nini? Ukishindwa kujua kitu kidogo kama hicho sitojisumbua kukuelezea maana level yangu sio ya upumbav wako6 days war alisaidiwa na mani?
Huu uharo peleka hapo kibera slums mkapakazane na wakunya wenzako.Ndio maana mnapigwa na Israel watakavyo, mkijificha nyuma ya watoto mnazibuliwa tu na der/kanzu zenu.
Povu la nini man, simple question deserve answer, after all hamna mahali nimekutakanaWe bwege nini? Ukishindwa kujua kitu kidogo kama hicho sitojisumbua kukuelezea maana level yangu sio ya upumbav wako
Mimi nimeamua kukutukana maana umezidi ujinga! Ni hasara na aibu kwa familia yakoPovu la nini man, simple question deserve answer, after all hamna mahali nimekutakana
Huna ustaarabu, matusi hayatolewi kwa random person, jifunze ustaarabu. Huna hadhi ya kujib watu kama huna control ya mdomo wakoMimi nimeamua kukutukana maana umezidi ujinga! Ni hasara na aibu kwa familia yako
kwann Iran anajificha nyuma ya hamas na hizbollah ? kama huez elewa achana nayoSasa hawa wameaishindwa Hamas wataweza jeshi kubwa kama Iran?
Wakipiga vinu vya Nuclear Iran anatandika Dimona, Na Viasset vyote vya Israel huko Tel Aviv kuanzia viwanda vya High tech mpaka military runaway zote.
Halafu baada ya hapo tuone nani anaweza kusimama kidedea
mkuu muona daktari wa psychology una ttzo sehem sio bure , unaea guswa na mambo ya middle east kias hicho ilihali hapa nyumbani tuna mabovu mengi ya kukeraWe bwege nini? Ukishindwa kujua kitu kidogo kama hicho sitojisumbua kukuelezea maana level yangu sio ya upumbav wako
Kimburu wewemkuu muona daktari wa psychology una ttzo sehem sio bure , unaea guswa na mambo ya middle east kias hicho ilihali hapa nyumbani tuna mabovu mengi ya kukera
Hivi upo hai wewe jamaa?Mumepigwa kwenye ubalozi, bado mnaongea ongea.... Hivi unajua kupiga ubalozi wa nchi nyingine ni mithili ya kupiga nani ya nchi hiyo.....Hamna lolote zaidi ya kuvaa dera/kanzu