Siri yafichuka, Kumbe nyumba Baraka Da Prince anayotamba kujenga si yake, ni ya Mama Naj

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Wiki iliyopita Msanii Baraka Da Prince alijigamba kuporomosha mjengo wa maana na kudai ametumia kiasi kikubwa sana na bado haujaisha. Jeuri hiyo ikapelekea hata kubadilika kwa kiswahili chake na kujigamba kidon don na kusema ''Nawachekaga kwa madharau mengi hahahahahaha watu wenye maneno MINGI MINGI''

Ukweli umewekwa wazi na Alawi Junior ambaye ameoa kwenye familia ya akina Naj, alawi amemporomoshea sifa kede kede mama mkwe wake (Mama Naj) kwa kushusha mjengo huo.

Sina maneno mengi, tusubiri kuujua ukweli zaid.


 
Sasa sijui hii ni kick kwa alawi junior au baraka da prince. Ngoja tusubiri kwanza sababu last week baraka da prince alipoulizwa hati ya nyumba imeandikwa jina gani alisema wameshirikiana kwa pamoja ni siri kati yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…