Siri yafichuka, Kumbe nyumba Baraka Da Prince anayotamba kujenga si yake, ni ya Mama Naj

Siri yafichuka, Kumbe nyumba Baraka Da Prince anayotamba kujenga si yake, ni ya Mama Naj

Alawi ndio nani? au baba mkwe wake baraka mbona ana mambo ya kimbea mbea yaani kwakua ameoa kwenye familia ya akina Naj ndo anajua kila kitu basi angetoa na hati ya nyumba kabisa
 
khaaa utukome, huyo ni mjaluo. Usukumani alivamia tu. Wasukuma huwa hatuna masahuzi ya kipuuzi.
Naweza kubaliana na wew maana wajaluo mda mwingine sijui wakoje nilikuwa na kajamaa kamoja hiv kajaluo sasa kuna siku bro wake alitutoa out kakawa kamependeza ila kakaharibu kwenye viatu nikakashauri badilisha viatu vingine hivi haviendani kabisa kakanijibu eti kana viatu vingi sasa mda mwingine kanashindwa kavae vipi shemej ake akaniambia kaongo hako viatu vyake havina mvuto hata kidogo na hivyo alivyo vaa sio vyake nika mcheka kwa dharau nikakaona ka ovyo
 
Alawi ajiandae kutusiwa maana hako kabaraka kana matusi sana
 
Naweza kubaliana na wew maana wajaluo mda mwingine sijui wakoje nilikuwa na kajamaa kamoja hiv kajaluo sasa kuna siku bro wake alitutoa out kakawa kamependeza ila kakaharibu kwenye viatu nikakashauri badilisha viatu vingine hivi haviendani kabisa kakanijibu eti kana viatu vingi sasa mda mwingine kanashindwa kavae vipi shemej ake akaniambia kaongo hako viatu vyake havina mvuto hata kidogo na hivyo alivyo vaa sio vyake nika mcheka kwa dharau nikakaona ka ovyo
Wajaluo wana tabia ya majivuni wapo km wahaya.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Baraka alidanganya kuhusu ile nyumba.
Baraka ana madhaifu mengi lakini sidhani kama kafikia kwenye udhaifu wa uongo wa kiwango hicho.
 
Huyu nae anafaa kuzimiwa mic, ndio itakuwa mwisho wake wa kujikweza.
 
Wiki iliyopita Msanii Baraka Da Prince alijigamba kuporomosha mjengo wa maana na kudai ametumia kiasi kikubwa sana na bado haujaisha. Jeuri hiyo ikapelekea hata kubadilika kwa kiswahili chake na kujigamba kidon don na kusema ''Nawachekaga kwa madharau mengi hahahahahaha watu wenye maneno MINGI MINGI''

Ukweli umewekwa wazi na Alawi Junior ambaye ameoa kwenye familia ya akina Naj, alawi amemporomoshea sifa kede kede mama mkwe wake (Mama Naj) kwa kushusha mjengo huo.

Sina maneno mengi, tusubiri kuujua ukweli zaid.

View attachment 419480
Wanaume wa Dar katika ubora wenu.
 
unakuta umetoa pesa umjengee mamamkwe hala mtu anjisifia yake.
 
Na nyie mnaongezea yenu, mbona hakusema wamepataje pesa kujenga.
 
Huyu Msukuma angekuwa WCB angefika mbali sana kama Mondi kwa hizi kiki zake.
 
Back
Top Bottom