Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hiii nyuma mama kajengewa na mkwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize tu, Mentor wake mwenyewe bado anaishi kwa mama Kariakoo pamoja na kuwa kwenye game kwa muda mrefu.
hahahaa... mmeanza baguana. Wenye afadhali wa wapi??Huyu dogo msukuma wa Shinyanga au Mwanza?
Kwani alikuwa hana uwezo wa kumpigia cm au kumuvist akampongeza?Umbea wake nini? Kusifia nyumba ya mama mkwe?
kutokea mkoani mbona wakina belle wamkoani lakini wanaheshima ila sio mbaya kiki zake zimeibust hadi nyimbo yakeHuyu dogo Ni wa mkoani,Si unamuona alivyo bwegebwege...
Naam. Kama ni kweli basi utakua ni udhaifu wa kiwango cha lami.Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Baraka alidanganya kuhusu ile nyumba.
Baraka ana madhaifu mengi lakini sidhani kama kafikia kwenye udhaifu wa uongo wa kiwango hicho.
hivi kwa tanzania kumtukana mtu sio kosa kisheria?Alawi ajiandae kutusiwa maana hako kabaraka kana matusi sana
Mjaruo ila wazee wake walijiongeza MwanzaHuyu dogo msukuma wa Shinyanga au Mwanza?
Vipi mkuu mbona unamkana mwanaume mwenzako za dar es salaamHuyu dogo Ni wa mkoani,Si unamuona alivyo bwegebwege...