Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Nikosa tenahivi kwa tanzania kumtukana mtu sio kosa kisheria?
lakini huyu kijana anajitia ukichaa kutukana watu ovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikosa tenahivi kwa tanzania kumtukana mtu sio kosa kisheria?
Msukuma wa ushetu huyu,Huyu dogo msukuma wa Shinyanga au Mwanza?
Ni kweli kabisa yaan mi mwenyew mhaya mkuuWajaluo wana tabia ya majivuni wapo km wahaya.
Hahahahahaha umenichrkeshaHii nyumba itakuwa labda kwa mbele ni ya mama Naj, na kwa nyuma ni ya the Purinsi. tehetehe
kumbe ushawahi mpendaga? ongera zakoKana dharau sana, siku hizi sikapendi kabisaaaaaaa.
Kama kafanyiwe pettition tukapakie kwa pangaboi za chato tukarudishe misungwi mkuuIla haka kasukuma kamekuwa tatizo mjini
Hacha ukuda ww,wahaya uwa tunalingia kile tulichonacho na ni cha ukweli...walikuwa wakwanza kuwa wasomi Tz...kuongea Kidhungu kila wapatapo chance....kausha braza plz.Wajaluo wana tabia ya majivuni wapo km wahaya.
Heheheee 'tunalingia' ebu andika vizuri.Hacha ukuda ww,wahaya uwa tunalingia kile tulichonacho na ni cha ukweli...walikuwa wakwanza kuwa wasomi Tz...kuongea Kidhungu kila wapatapo chance....kausha braza plz.
Wajaluo wana tabia ya majivuni wapo km wahaya.