Chase your dreams
Member
- Jul 27, 2024
- 87
- 630
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.
2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.
3.Siri ya mafanikio ya tatu meenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.
4.Siri ya nne ya mafanikio meenyezimungu ameiweka katika vichwa vya wanadamu.
Kwa Sababu mtu akiwa na idea yake maybe alikuwa na mafanikio yake ambayo anayaona huyaandika kwenye VITABU. Hivyo tunapokuwa unapokuwa unasoma vitabu unachukua Yale mafanikio au njia za kuendea hayo mafanikio ambayo mtunzi wa kitabu alikuwa anayaona.
Hivyo pendeleeni kusoma vitabu.
5.Siri ya tano ya mafanikio meenyezimungu kaificha msitini katika miti kikubwa.
Pia huko Kuna Siri nzito sana
za mafanikio ambazo meenyezimungu ameziweka.
Ongezea Siri nyingine za mafanikio tupate kuelimika.