Siri za Mafanikio

Siri za Mafanikio

Status
Not open for further replies.
Joined
Jul 27, 2024
Posts
87
Reaction score
630
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.

2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.

3.Siri ya mafanikio ya tatu meenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.

4.Siri ya nne ya mafanikio meenyezimungu ameiweka katika vichwa vya wanadamu.
Kwa Sababu mtu akiwa na idea yake maybe alikuwa na mafanikio yake ambayo anayaona huyaandika kwenye VITABU. Hivyo tunapokuwa unapokuwa unasoma vitabu unachukua Yale mafanikio au njia za kuendea hayo mafanikio ambayo mtunzi wa kitabu alikuwa anayaona.
Hivyo pendeleeni kusoma vitabu.

5.Siri ya tano ya mafanikio meenyezimungu kaificha msitini katika miti kikubwa.
Pia huko Kuna Siri nzito sana
za mafanikio ambazo meenyezimungu ameziweka.

Ongezea Siri nyingine za mafanikio tupate kuelimika.
 
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.

2.Siri ya pili ya mafanikio mwenyezimungu akaiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.

3.Siri ya mafanikio ya tatu mwenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.

4.Siri ya nne ya mafanikio mwenyezimungu ameiweka katika vichwa vya wanadamu.
Kwa Sababu mtu akiwa na idea yake maybe alikuwa na mafanikio yake ambayo anayaona huyaandika kwenye VITABU. Hivyo tunapokuwa unapokuwa unasoma vitabu unachukua Yale mafanikio au njia za kuendea hayo mafanikio ambayo mtunzi wa kitabu alikuwa anayaona.
Hivyo pendeleeni kusoma vitabu.

5.Siri ya tano ya mafanikio mwenyezimungu kaificha msitini katika miti kikubwa.
Pia huko Kuna Siri nzito sana
za mafanikio ambazo mwenyezimungu ameziweka.

Ongezea Siri nyingine ya mafanikio tupate kuelimika.
Ushazifanyia kazi hizo siri ?
 
2.Siri ya pili ya mafanikio mwenyezimungu akaiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli
Hii siri 👆👆itolewe maana utajiri wa mbinguni hatuwezi kuupata na kuuleta duniani au mtoa mada kunanjia twaweza kuupata ? Au nikavamie Aka nikaibe?🤔
 
3.Siri ya mafanikio ya tatu mwenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.
It's easy lakini unapaswa kujitoa mhanga kwenda kuitafuta ,uko tayari kufia ndani chini ya bahari endapo kukitokea ajali?
 
1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.

2.Siri ya pili ya mafanikio mwenyezimungu akaiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.

3.Siri ya mafanikio ya tatu mwenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.

4.Siri ya nne ya mafanikio mwenyezimungu ameiweka katika vichwa vya wanadamu.
Kwa Sababu mtu akiwa na idea yake maybe alikuwa na mafanikio yake ambayo anayaona huyaandika kwenye VITABU. Hivyo tunapokuwa unapokuwa unasoma vitabu unachukua Yale mafanikio au njia za kuendea hayo mafanikio ambayo mtunzi wa kitabu alikuwa anayaona.
Hivyo pendeleeni kusoma vitabu.

5.Siri ya tano ya mafanikio mwenyezimungu kaificha msitini katika miti kikubwa.
Pia huko Kuna Siri nzito sana
za mafanikio ambazo mwenyezimungu ameziweka.

Ongezea Siri nyingine ya mafanikio tupate kuelimika.
Mafanikio hayana siri yapo tu popote kulingana na mazingira ya watu wa eneo waliopo kinachohitajika ni MAARIFA NA CONNECTION basi..

Pili mafanikio pia yanategemea na jamii na mazingira pamoja na tamaduni mfano masai ukimwambia ili ufanikiwe unatakiwa ulime heka mia ili uje uuze mazao kwa hela nyingi ataweza kukucheka yeye atakwambia mafanikio ni kuwa na mifugo mingi..

Kwa sasa dunia karibu yote tunafuata mtindo wa maisha ya kibepari ambao ili ufanikiwe lazima uwe au umiliki mali kama ardhi, makazi, vyombo na machine.

Lakini hadi kufika mtindo huu binadamu tumepitia mitindo mbalimbali kuna kipindi ilikuwa mtu tajiri ni yule mwenye kumiliki watu wengi yaani watumwa ambao utumikishwa au kukodishwa kwenye shughuli mbalimbali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom