Sirro akimaliza muda wake, SACP Suzan Kaganda anafaa

Sirro akimaliza muda wake, SACP Suzan Kaganda anafaa

NEW COVID

Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
38
Reaction score
38
Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?

IMG_20210830_123234.jpg
 
Anaitwa Suzanne Sirro? Ni mtoto wa IGP Siro? Basi kwa kuwa Sirro yeye hazai watoto hovyo hovyo labda tukubaliane na wewe.

Ila hii kauli ya kutozaa watoto hovyo hovypo alipenda sana kuitumia Adolf Hitletr, akiwa na mawazo ya Germany liwe taifa la pure breed. Sasa Sirro sijui anaanza dalili za ki-Hitler Hitler?
 
Yupo Vema
Nakukumbusha Ndani Ya Police Kuna Fitna Kuliko Ccm
 
Weka picha yenye cheo chake cha SACP hicho ni ACP
Ila tungependa kujua kama hivyo vyeo alivipata kihalali, au vilitolewa hovyo hovyo kwa kuwa ni mtoto asiye hovyo hovyo wa IGP Sirro

Tunataka kujua kitu gani kilifanya Suzanne astahili vyeo hivi ambavyo Hamza angekuwa jeshi la Polisi asingepewa?
 
,wewe jee?
Namkubali sana tena sana. Tatizo mjambazi haya hayatampa nafasi hiyo maana yanajua huyu ni mpenda haki! Manyangau hayataki mtu anayependa haki hata kidogo. Siro aliteliwa kwa vile Jiwe alimuona katili la kutisha, akamuondoa aliyekuwepo mople (lkn anatimiza wajibu wake).
 
Kumbe na wewe Polisi🙄
 
Ni ngumu sana Tanzania kuendelea kwa sababu imejaa mapunguani kila kona ya nchi.Tatizo siyo Sirro,tatizo ni mfumo.Wewe ungeambiwa kuwa mtu kama Mulamula angekuja kuwa takataka ungekubali?

Kama mpaka mtu kama Kabudi alikubali kuwa takataka ni nani hatakubali kuwa takataka?Mimi nikisoma mawazo ya watu humu wanapoanzisha nyuzi zao huwa nasikitikia sana akili zao.
 
Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?

View attachment 1916357

Makwetu kila ushauri hupigwa chenga ya mwili180°.

"Kwamba huwa hawapangiwi!" -- asema mzee baba.

Kwa uzi wako ndiyo ushamharibia hivyo.
 
Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?

View attachment 1916357
Ni mzuri yes, ila siyo kila anayeongea vizuri mkadhani ana uwexo mzuri kiutendaji. Kingine, Mtakapoambiwa kinachopelekea kufifia kwake ni Mobeto au Kajala type msije mkashangaa
 
Yupo Vema
Nakukumbusha Ndani Ya Police Kuna Fitna Kuliko Ccm
Sio fitna tu mkuu. Kuna ushirikina uliokwenda shule.
Hao ma SACP waone hivyo hivyo, tembelea Pangani au Kuna Kijiji kimoja wilaya ya Muheza TANGA uone ma SACP wanavyowapigia saluti waganga wa jadi.
Kada nyingine inayoripoti kujiganga Ni trafik. Wao utawasikia wakiwaambia wahanga "Nataka nisihamishwe kwenye utrafiki" FFU ndio siwaonagi sana.
 
Suzzy Kaganda may be good lkn Nani atampendekeza????
Hapo alipo sijui Kama Kuna anayemkumbuka
 
Ni ngumu sana Tanzania kuendelea kwa sababu imejaa mapunguani kila kona ya nchi.Tatizo siyo Siro,tatizo ni mfumo.Wewe ungeambiwa kuwa mtu kama Mulamula angekuja kuwa takataka ungekubali?

Kama mpaka mtu kama Kabudi alikubali kuwa takataka ni nani hatakubali kuwa takataka?Mimi nikisoma mawazo ya watu humu wanapoanzisha nyuzi zao huwa nasikitikia sana akili zao.
Mbona Prof Assad hakubadilishwa na mfumo?
 
Back
Top Bottom