popo - ma ktk mlundikano wa ID za mchongo.Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani
Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa
Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Sijui kwanini hao waumini hawajifunzi kutoka kwa viongozi wao kwamba kazi ndo ibada ya Kwanza ya kuinua uchumi wao na kuwatoa kwenye umasikini mpaka wategemee mahitaji yao yashuke kutoka juu eti yawadodokee huku wao wakiwa wamekaa tuu na ikitokea wamefanya juhudi ndogo na wakapata chochote basi wakipeleke chote na wao wabaki wakisubiri kushushiwa zingine bila kazi wakati mfano wanao , Askofu mkuu akiwa anahitaji kuongeza kipato chake akatafuta kazi ya ziada Ili kipato chake kiongezeke akiwa anajua umuhimu wa kufanya kazi Ili kujipatia mahitaji na kwenda sehemu ya ibada ni sehemu ya kwenda kuomba Mungu akusafishie nyota ing'ae na siyo kushushiwa mahitaji.Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Jinga wewe ukute hapo uko kwa shemeji amekupa boksa ufue unanza kuharisha uharo wako hapaToa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani
Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa
Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Ni ushauri tu, acha dhihaka ktk iman za watu, kwan hata wao pia wanajua madhaifu ya dhehebu lako sa wakija kukukashfia dini yako sijui utafurah, achana ba hilo jamboRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Una Akili ila Akili Timamu ndio huna. Badala ya Kujibu Hoja unaanza Kuassume Mambo.Jinga wewe ukute hapo uko kwa shemeji amekupa boksa ufue unanza kuharisha uharo wako hapa
Wanafanya The Same but Wameshatengeneza Misingi ambayo imepumbaza Wengi kuona wao wapo tofauti na Walokole. Ni sawa na Benki [emoji542] zinavyofanya kwenye Fixed account. Wanakupumbaza Kwa Kukwambia Watakupa Asilimia kama Faida. Kumbe wanazingusha Pesa zako wanapata Faida Halafu wewe wanakupa Kidogo sana kati walichovunaJapo siamini maswala ya imani lakini angalau katoliki na Lutheran kidoogo.
Na hata Mke wa Marehemu Kapteni John Komba.popo - ma katika kiwango chako kilekile cha ujinga.
lengo lango ulitaka tufahamu kwamba unasali kanisa moja na CDF pamoja na mkewe.[emoji1787][emoji1787]
Sadaka siyo mali ya padri inakwenda jimboni na kutolewa kwa utaratibu maalum tofaut na walokole sadaka anachukua mchungaji anafanya anavotakaUna Akili ila Akili Timamu ndio huna. Badala ya Kujibu Hoja unaanza Kuassume Mambo.
Jibu Hoja Kwani RC hawachangishi Pesa na Kupeleka kwenye Account za Kanisa na Kuzifanyia Matumizi kam Walokole wanavyofanya.
Utaratibu maalumu au Siyo!!. Huo Utaratibu ushakusaidia Kitu gani Kama Muumini!?Sadaka siyo mali ya padri inakwenda jimboni na kutolewa kwa utaratibu maalum tofaut na walokole sadaka anachukua mchungaji anafanya anavotaka
Hivi ninyi binadamu, mnapoongea haya, mnatumia andiko gani katika Biblia? Naomba nami unionyeshe, ili pengine niwaelewe japo chembe kidogo.Hawana akili thus uenda kuomba msaada wa akili kwa mganga au mtume.
Mtu mwenye akili hawezi kwenda kwa waganga au mitume na manabii.
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika kabisa pa sipo msaada wa akili ya mwingine.
Bora betting mara Moja Moja unakula huko makanisani Kila siku nikuliwa tu"Religion is an Opium of the People" by Max.
Mkuu Akili ile ile inayokuepusha usiwe mteja wa Unga, Betting ndiyo hiyo hiyooo inayokuepusha na mengineyo hayoooo.
Lkn kumbuka "KAZI NA SALA"
Unaweza kuniambia Mungu anaongea nini katika suala la sadaka na dhabihu?Utaratibu maalumu au Siyo!!. Huo Utaratibu ushakusaidia Kitu gani Kama Muumini!?
Ukiajiriwa Sehemu Mwajiri atleast anakuambia Atakupelekea Michango NSSF,NHIF n.k huko Kanisani Hizo Sadaka Zishakukatia Hata Bima Ya Afya ... bima za Moto. Bima za Maisha. Bima za Ajali n.k
Hakuna Sadaka inayoenda Kwa Mungu hata mara Moja maana Mungu hayupo hivyo. Hizo sadaka zinaenda Kwenye Account za Watu waliojiwekea Organization maalumu ya Kuzicontrol halafu ww unakuja Kutetea Humu wakati hizo sadaka hazikusaidii chochote kile katika Maisha Yako. Ukiugua Hakuna Kanisa wala Padri anachanga Kuugua Kwako zaidi ya Kuja Kukuombea. Wakat wao wakiugua Ww Unachanga Pesa Wakatibiwe
Huo Utaratibu maalumu ungekuwa ni wakuwawezesha Waumini wafaidike na Sadaka zao maana Tunajua Sadaka haziendi kwa Mungu zinaenda Kwenye Account za Kanisa. Mwisho wa siku Sadaka Hazileti matokeo kwa Muumini Husika na Hakuna Muumini Anayepata Faida ya Sadaka zake moja Kwa Moja Zaidi ya Kupigwa pigwa chenga ya Kusema UNAMTOLEA MUNGU
Fuatilia chimbuko la dini zote utajuaWapi ukatoliki umeandikwa kwamba ndo dhehebu la kweli hadi ujivunie?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
hukumwelewa mleta madaWapi ukatoliki umeandikwa kwamba ndo dhehebu la kweli hadi ujivunie?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Unatakiwa kujiuliza Kwanza Kabla Ya Biblia Mungu alikuwa anaongea nini!? Wewe umemjua Mungu baada ya Biblia Kuja Je wakati Huo alikuwa Si MunguUnaweza kuniambia Mungu anaongea nini katika suala la sadaka na dhabihu?
Naamini katika kusaidia yatima,wajane na wahitaji( maskini na wagonjwa). Sadaka zangu ninaenda huko sio Kanisani.Unaweza kuniambia Mungu anaongea nini katika suala la sadaka na dhabihu?