Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
KMC ni timu ngumu sana kwa YangaTutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv.
Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi tunatafutaje points kwa Yanga? Tunacheza kupunguza magoli tu.
[emoji1787][emoji23][emoji23]Imbongolongondo sijuwi leo atacheza
Hilo lilikuwa halina shaka kabisa....🤣🤣🤣🤣🤣Yametimia