Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha.
Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia ambapo timu ya Yanga haitafungwa hata goli moja na watashinda michezo yote hivyo wapinzani endeleeni kununa wakati Yanga inasonga mbele. Naiomba TFF wawaonye wachezaji wa Singida waache mchezo wa rafu waliouonyesha jana usiku na hii itakuja kuwaaribia sifa.
HONGERA SANA YANGA.