We msimbe una changamoto ya akili eeeeh au umeandika huku umelewaNi mambo ya kawaida tu hayo wala msifanye ionekane kama ni ajabu sana, wanaume wanahudumia kwa sababu they expect something in return toka kwa wanawake kama heshima na kufanyiwa majukumu ya nyumbani, lakini mwanamke akihudumia anapata nini in return toka kwa mwanaume
WapiKufikishwa
Vipi na wanawake wakienda ukweni hawasaidii kazi za nyumbaniKuhudumia ukweni kwa mwanamke ni majukumu ya mwanaume?
Jibu hoja wewe acha taarab
😍☺️☺️Ila wanaume Yesu awatunze....
Ni upumbavu content
KileleWapi
Anatuteteaga sana...lazima tumpende 🥰Jojo acha zako 😉😉😎😅
Vipi kwani suala kuhudumia wazazi wa mwanamke,na nwanamke kuhudumia ukweni mambo yaliyopo kwenye mkataba wa ndoa?Vipi na wanawake wakienda ukweni hawasaidii kazi za nyumbani
Unaweza kuhudumia mume na watoto wewe?Hata wanawake tunaweza kufanya hivyo wala sio kitu cha ajabu, sema huo upuuzi hatuupi kipaumbele.!!
Umesoma vizuri comment yangu?Unaweza kuhudumia mume na watoto wewe?
Unaweza kuhudumia michepuko mi tatu?
Hela yenu yenyewe chuungu na ya manyanyaso.
Hapana wewe ndio hujaelewa koment yako em kasome vizuri madam, vuwa miwani hiyo.Umesoma vizuri comment yangu?
Nimekwambia wanawake tunaweza zaidi ya hayo lakini hatuvipi kipaumbele vitu vya kijinga..!! HAPO UMEELEWA?
Kwa ndugu anapata nn in returnNi mambo ya kawaida tu hayo wala msifanye ionekane kama ni ajabu sana, wanaume wanahudumia kwa sababu they expect something in return toka kwa wanawake kama heshima na kufanyiwa majukumu ya nyumbani, lakini mwanamke akihudumia anapata nini in return toka kwa mwanaume
Mbona haijanifikia bado?Aafu kweli...., ngoja nimtumie mwanaume mmoja nione majibu yake...🤔.