Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kimsingi sikuelewi nikuweke katika kundi ganii,Umeelewa ulichokiongea kule juu ww unafikiria maisha ni mahusiano tu (Heshima na Majukumu ya Ndani) ila ni extra miles kwa maana tunahitaji mtu mwenye maono,dira na jitihada chanya, wanaume kwa kiwango kikubwa wanaoffer huduma nyiingi na wanawake wanatakiwa wawe wasaidizi katika namna ya kuwa backup iwapo mwanaume mambo yake hayaendi sawaWewe unaishi nchi gani tuanzie hapo kwanza, unaongelea hawa hawa wanaume wa kiafrika ambao housegirl akifanya hayo majukumu, mume anaanza kutembea naye kwa madai kwamba mke kajisahau kila kitu kamuachia dada hivyo mke naye afanye