Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Siyo lazima kuhudumia kwao ila ukiamua kuhudumia basi usitake kusifiwa, maana hata yeye akienda kwenu lazima kuna majukumu atakuwa anayafanya ambayo kwake siyo lazima, hiyo siyo sheria bali ni tamaduni tu ambazo baadhi ya jamii waliziwekaKwamba niliona nihudumie familia yao na si yangu na mke wangu?!