Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kimsingi sikuelewi nikuweke katika kundi ganii,Umeelewa ulichokiongea kule juu ww unafikiria maisha ni mahusiano tu (Heshima na Majukumu ya Ndani) ila ni extra miles kwa maana tunahitaji mtu mwenye maono,dira na jitihada chanya, wanaume kwa kiwango kikubwa wanaoffer huduma nyiingi na wanawake wanatakiwa wawe wasaidizi katika namna ya kuwa backup iwapo mwanaume mambo yake hayaendi sawaWewe unaishi nchi gani tuanzie hapo kwanza, unaongelea hawa hawa wanaume wa kiafrika ambao housegirl akifanya hayo majukumu, mume anaanza kutembea naye kwa madai kwamba mke kajisahau kila kitu kamuachia dada hivyo mke naye afanye
Kumne jadda mi meTafadhali usimvunjie heshima kaka yetu Jadda kikao cha mwisho cha wadada tulikubaliana huyu ni Mwanaume special edition
Kwamba utoe hela yako kusolve matatizo ya ukweni?Hata wanawake tunaweza kufanya hivyo wala sio kitu cha ajabu, sema huo upuuzi hatuupi kipaumbele.!!
Kuna wapumbavu wanalazimisha kuswitch izo roles wenyewe wanaita feminism. Wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume kupewa iyo nafasi. Wanataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke kupewa iyo privilege, ndio maana sasa hivi hakuna balance kwenye mahusiano kwa sababu ile equation ya provider and reciever imevulugwaMwanaume kiasili ni mtawala,kiongozi,mbeba majukumu,mtoa huduma,mpambanaji..
Kuweka heshima ni kweli, lakini kumbuka huwezi "kumtoa maji" mwanamke kwa shoo ya dakika 2, na hili la mwisho ni muhimu sana kwake maana ndo humshibishaHapana nia ya hayo yote ni kutaka kuweka heshima tu wala hakuna kingine, huwa mnapenda kila mnapokutaka na mwanamke mjitutumue kwamba ninyi ni vidume, ili wasiwadharau na hata wakati mwingine wakihitaji tena basi wawakumbuke ninyi tu
Mwanamke singo mom anaonekana hamnazo, ila kwa mwanaume hilo siyo ishu maana siku yoyote na muda wowote akitaka anachukua zigo (hata Jadda kama jimbo lipo wazi) anasweka ndani chap.hivi mwanamke akiitwa single mother na mwanaume akiitwa single father ni kipi kitachukuliwa kwa uzito zaidi,
Mwanamke malaya hana thamani kabisa na hafai.au mwanamke akiitwa malaya na mwanaume akiitwa malaya ni yupi itamletea impact kisaikolojia ukizingatia wanaume huwa mna vimisemo vyenu vya kutetea maovu kwa jinsia yenu
Yes..ni kaka muelewaKumne jadda mi me
Ni mwanamke.Sasa mkuu tuongee tu ukweli kwenye masuala ya ngono na mahusiano ni nani ambaye akitukanwa matusi yake yanachukuliwa kwa uzito kwenye jamii, hivi mwanamke akiitwa single mother na mwanaume akiitwa single father ni kipi kitachukuliwa kwa uzito zaidi, au mwanamke akiitwa malaya na mwanaume akiitwa malaya ni yupi itamletea impact kisaikolojia ukizingatia wanaume huwa mna vimisemo vyenu vya kutetea maovu kwa jinsia yenu
Sio upinde kweli. Maana comments zake naona huwa anajifungamanisha na jinsia ke.Yes..ni kaka muelewa
Hivi ninyi si ndio huwa mnajisifu kwamba mnatumia logic sasa hebu niambie tendo linalohusisha jinsia mbili linakuwaje kosa kwa jinsia moja halafu hapo hapo likawa sahihi kwa jinsia nyingine hiyo ni logic ya wapi, ni kama mnataka kusema wanaume wanafanya na viumbe wengine na wanawake wanafanya na viumbe wengine, yani ni sawa na kusema zile pande mbili za shilingi moja iko sahihi kuwepo pale ila nyingine haiko sahihi kuwepo pale hebu niambie hiyo ni logic ya namna ganiMwanamke singo mom anaonekana hamnazo, ila kwa mwanaume hilo siyo ishu maana siku yoyote na muda wowote akitaka anachukua zigo (hata Jadda kama jimbo lipo wazi) anasweka ndani chap.
Mwanamke malaya hana thamani kabisa na hafai.
Ila tukubaliane kwanza, hakuna mwanaume malaya.. kwa mfano yule Baltasar Ebang Engonga huwezi kumuita malaya, bali ni shababi, rijali, kidume, dume la mbegu, nk.
Why not.?!!😹Kwamba utoe hela yako kusolve matatizo ya ukweni?
SawaWhy not.?!!😹
Kwani nyie wanaume mnatoa kiasi gani cha kutisha huko ukweni?
Si hizi hizi pesa mbuzi tu.!! Mnaweza kusolve tatizo la 20million?
Tatizo wana-date wanawake njaa, na wavivu wanaotumia mashimo km uwekezaji 🤣😹😹Najua mtanitukana ila wapo wanawake weeengi sana wako kwenye ndoa na waume wenye vipato vizuri tu ila familia inakula,soma,tibiwa,valishwa na kila kitu kwa vihela vya mama.
Kuna wanawake WENGI wako kwenye ndoa ila wanateseka kama wajane.
Kama kuwa mwanaume automatically unageuka superhero mbona kuna vitoto vina baba ila vinatembea kaptura zimetoboka,Mfano hz siku za sikukuu
Kuna jamaa wanahakikisha mke kasuka,mchepuko nao umesuka
Watoto wote wamenunuliwa nguo wa mchepuko na familia kuu
Hii mada ni kama inasema ukiwa mwanaume automatically unakua superpower za kupata hela ila vipi kuhusu wale wanaume wanaoshinda wamevaa msuli wanacheza bao ila muda wa msosi ukifika anarudi home anakuta sotojo safi la nazi.Tatizo wana-date wanawake njaa, na wavivu wanaotumia mashimo km uwekezaji 🤣😹😹
😹😹😹hawa tuwasamehe bure wanaokota wauza nyapu😃
Si anapata mimbaNi mambo ya kawaida tu hayo wala msifanye ionekane kama ni ajabu sana, wanaume wanahudumia kwa sababu they expect something in return toka kwa wanawake kama heshima na kufanyiwa majukumu ya nyumbani, lakini mwanamke akihudumia anapata nini in return toka kwa mwanaume
Hahaha,Hivi ninyi si ndio huwa mnajisifu kwamba mnatumia logic sasa hebu niambie tendo linalohusisha jinsia mbili linakuwaje kosa kwa jinsia moja halafu hapo hapo likawa sahihi kwa jinsia nyingine hiyo ni logic ya wapi, ni kama mnataka kusema wanaume wanafanya na viumbe wengine na wanawake wanafanya na viumbe wengine, yani ni sawa na kusema zile pande mbili za shilingi moja iko sahihi kuwepo pale ila nyingine haiko sahihi kuwepo pale hebu niambie hiyo ni logic ya namna gani
Kwamba niliona nihudumie familia yao na si yangu na mke wangu?!Havipo kwenye mkataba wa ndoa ila vipo kwenye tamaduni zetu, kama hutaki kuhudumia familia ya mkeo basi nawe usitake mkeo alee familia yako, halafu ni wanaume wa wapi hao ambao wanahudumia ukweni na bado wakienda wanasaidia kazi za nyumbani
Mkuu ogopa sana mtu anayejadili hoja kwa kusema haya mambo ndio yapo hivyo tu, jambo kuwepo toka zamani siyo kigezo cha kuwa ndio asili tunachojadili ni logic ya jambo husika na siyo limekuwepo kwa muda gani, hiyo mifano mnayoitoa ya kina Suleiman siyo kwamba hayo waliyoyafanya yalikuwa sahihiHahaha,
Haya mambo ndo yapo hivyo tu, hayajaanza leo. Tatizo linakuja pale mnapotaka kubadili mambo kwa kisingizio cha usawa.
Kuna yule Nabii mmoja anaitwa Suleiman, kwa mujibu wa maandiko alioa wake 700, akaongeza vimada 300, akamiliki jumla ya manzi 1000 na hakulaumiwa!
Hata wewe hapo ukianza kufuga kuku unaweza kuwa na jogoo 1 na majike 15 au 20. Huwezi kuweka jike 1 na majogoo 15, yataua.
So, mambo mengine ni asili, tukubali tu