Siyo lazima kuhudumia kwao ila ukiamua kuhudumia basi usitake kusifiwa, maana hata yeye akienda kwenu lazima kuna majukumu atakuwa anayafanya ambayo kwake siyo lazima, hiyo siyo sheria bali ni tamaduni tu ambazo baadhi ya jamii waliziwekaKwamba niliona nihudumie familia yao na si yangu na mke wangu?!
Wewe unafata hizo tamaduni au hufatiSiyo lazima kuhudumia kwao ila ukiamua kuhudumia basi usitake kusifiwa, maana hata yeye akienda kwenu lazima kuna majukumu atakuwa anayafanya ambayo kwake siyo lazima, hiyo siyo sheria bali ni tamaduni tu ambazo baadhi ya jamii waliziweka
Hapa hoja siyo mimi kufuata au kutokufuata hizo tamaduni, hoja ni kwamba kama mwanaume anahudumia wakwe zake asitake kusifiwa kwani hata mke naye analea wakwe zake, na kama mume anaona hawezi kuhudumia wakwe zake basi amruhusu mkewe atafute pesa ili ahudumie familia yake na wote tunajua sifa za mwanamke anayejitafutia pesa zakeWewe unafata hizo tamaduni au hufati
IkojeHapa hoja siyo mimi kufuata au kutokufuata hizo tamaduni, hoja ni kwamba kama mwanaume anahudumia wakwe zake asitake kusifiwa kwani hata mke naye analea wakwe zake, na kama mume anaona hawezi kuhudumia wakwe zake basi amruhusu mkewe atafute pesa ili ahudumie familia yake na wote tunajua sifa za mwanamke anayejitafutia pesa zake