Dennoo enterprise
Senior Member
- Aug 29, 2024
- 131
- 90
Inverter inatumia umeme mdogo na haitoi sauti kubwa inapofanya kazi hii ndo tofauti yake kubwa na non inverterTofauti ya Inverter na Non-inveter ni ipi katika:
- technically
- economically
- reliability
- convenience
- efficiency
- operating costs
Nishaona hapo juu Inverter based A.C bei juu kuliko Non-Inveter. Kwanini?
Mteja akija utamshauri achukue aina gani
Kila la kheri kwao Katika kuwahudumia watu
Hakuna jibu la moja kwa moja sababu inategemea na eneo ac inakofungwa linaukubwa gani, hiyo ac itakua inawashwa 24/7 au mda mwingine itazimwa,Ungeweka na umeme utumikavyo kwa kila BTU kwa NI na Inverter